Mimi ni hakunaga story,.... yaani ni mimi ni MARHABA, imeisha hiyo kwangu hakuna cha haujambo, wala nini, kama nimekaa na naona ananibugudhi kwa chochote utasikia "KAUSHA BASI DOGO"kwa sauti mpaka mama mtu asikie
Unang'ang'ana na hela za benki eee kila saa benki, benk. siutafute zakwako? hizo bank ni kazi za watu, na kila siku wanaumiza vichwa vyao ninamna gani,au wamlipe nani, atunge sheria itakayo wapa mamlaka ya kukunyang'anya hiyo kazi yako na kiinua mgongo chako chote,. Ili utie akili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.