Recent content by Mauna RATA

  1. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Sitavumilia dhuruma hii Maxmalipo

    Sir makonda
  2. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Tunaamini Mungu ni mtakatifu... Viongozi ni sura ya Mungu, wachungaji na maaskofu ni sura ya Mungu... Yaaani mema... Hivi kwa tukio lile tunamsubiri Mungu....? Sisi tuliochunga mbuzi..... Ukienda kuiba miwa unaporudi hiwakuti mbuzi, wanatawanyika kuiba pia... So far whether ni kweli au si kweli...
  3. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Stable woman... Kama bi mwanamke we goal keeper... Ungekua na majukumu mahaba yasingekuhusu... Soma namba
  4. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Je, Shisha ni nini? Madhara yake ni yepi?

    Sinui hii kitu.. Tena kama ipo nionje maana hata taasisi ya tfda wapo kimyaaa... Je inatokana na mchicha?
  5. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Zile Millioni 50 kila Kijiji na laptop kila Mwalimu, kulikoni?

    Lowasa Rais wa mioyo ya Watanzania... Ahsanteee
  6. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Faini makosa ya barabarani ziongezwe hadi kufikia 50,000/=

    Muarobaini wa ajali sio gari, sio drivers... Jiulize gari linatengenezwa na engineer lina balance na speed 200....ametengeneza kwa matakwa hayo... TATIZO NI MIUNDO MBINU... BARA BARA YA MKOLONI GARI LA KISASA.... HAITATUVUSHA JIBU NI UPANUZI WA NJIA... PIA DRIVERS UZEMBE UNACHANGIA KWA MFUMO...
  7. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira mkongwe aliyekusudia kwenda mbele zaidi kutafuta ushindi

    Judge kiongozi
  8. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Yanga Yetu

    Ha ha ha kamesema ukweli.. Hatuwezi ikabidhi timu kwa kampuni hewa
  9. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Yanga Yetu

    Anazira kama lipumba tena
  10. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Vijana Waliovalia kiraia wamwagwa Barabarani kusaka Bodaboda

    Ni uhakiki... Msiogope.. Hiyo hali itaisha ktk kipindi kifupi kijacho
  11. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Utendaji mbovu kazini

    Kwa uchunguzi mdogo niliofuatilia naanza kuona watumishi wa umma wakifanya kazi chini ya kiwango kutokana na haya yafuatayo.. 1:watumishi wengi wamekata tamaa kufanya kazi kutokana na kutokua na uhakika wa kuwepo kazini(kutumbuliwa anytime) 2:nyongeza ya mshahara ya kila mwaka...
  12. Mauna RATA

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wawaili wana tofauti gani?

    Asieenda ulaya kipi kilicho badilika zaidi ya maisha magumu?
Back
Top Bottom