Recent content by maulaga2601

  1. maulaga2601

    Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

    Kweli wewe ni vichekesho, nadhani kwenye akili yako na maisha yako na rika lako hukuwahi kuwajua walimu wazuri Tanzania, unayemjua ni Mkandawile tu ndiyo maana unamuombea tuzo! Haya nenda Mwanza utamkuta akivua samaki !
  2. maulaga2601

    Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

    Tuzo ya nini, ya kujaza wanafunzi Mtendeni Primary school!
  3. maulaga2601

    Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

    Huyu mwanamke Natalia ana mdomo kama wa kenge! Hana staha ya kuongea na watu!
  4. maulaga2601

    Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

    Alikuwa Mwl mzuri sana wa Advanced Mathematics, alikujachukuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na kuwa Mkurugenzi msaidizi wa ukaguzi wa shule nchini. Inawezekana pengine ni wewe ulitofautiana naye kitu au jambo fulani, but was among the best teachers of mathematics in the country! Pole sana...
  5. maulaga2601

    Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

    Mwalimu Merchant Tambaza High School miaka ya 1994-1998 alikuwa ni mwalimu hatari sana wa Advanced Mathematics. Baadaye walimchukua watu wa makao makuu wizara ya elimu, idara ya ukaguzi wa shule.
  6. maulaga2601

    JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Bara zina la Ulaya lina nchi 24, sasa hizo nchi sijui 194 au 44 zinatoka wapi?Hivi nyinyi mmesoma shule kweli au ni mburura tu?
  7. maulaga2601

    Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Wewe kama unataka kuacha ualimu ni vizuri uache, sasa hapa unampigia kelele nani? Ulivyoandika humu ni pumba na ujinga mtupu! Kama hutaki kazi ya ualimu ondoka haraka sana kwani nani alikuingiza kwenye kazi hiyo!
  8. maulaga2601

    Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    Na wewe unayekubali, unakubali nini?
  9. maulaga2601

    Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

    Mbona wewe kichwa chako kipo kama nyundo!
  10. maulaga2601

    Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Kana alikuwa anasema ' it depend' badala ya ' it depends' basi huyo alikuwa anaongea english ya kijijini kwako wala si ya Marekani! Utamsifiaje kwa english chafu namna hii?
  11. maulaga2601

    Juisi za miwa Kariakoo wanaongeza sukari

    Ni sawa tu maan sukari hutokana na miwa, kwa hiyo hakuna lililoharibika hapo, ni miwa ongeza miwa!
  12. maulaga2601

    Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Special ability schools zipo pia Kibaha, Msalato, tabora boys and girls, siyo hiyo mikoa mitatu tu uliyotaja, ingawa labda nikuulize swali! What is so zpecial in these special schools in our country since their inception? Hao wanaomaliza huko kwenye hizo special schools wapo wapi kwenye system...
  13. maulaga2601

    Tunakumbushana tu

    Mimi nataka thread ya 'kitu kimepinda kama ndizii bukoba'
Back
Top Bottom