Habari mkuu naomba kuuliza..je ni sahihi kujaza mchanga wa mtoni kwenye msingi kama kifusi baada ujenzi wa msingi kukamilika…???eneo ulipojengwa msingi ni udongo wa mfinyanzi..?
Mkuu ulinipa majibu mazuri nilipouliza kuhusu ujenzi wa msingi kwenye ardhi ya mfinyanzi kwa kutumia mawe na tofali pia…
Swali langu la leo ni je naweza kujengea mawe paka kwenye levo ya ardhi alafu nikaendelea na tofali za kulaza kuanzia hapo usawa wa ardhi na kufunga mkanda juu???
Inachukua muda gani kumchorea mteja ramani yake...na wamkoani anapataje ramani yake iliyokamilika...na malipo yako unalipwaje..je ni baada ya kazi kukamilika au nusu kwa nusu..??
Nikupongeze mkuu kwa elimu unayoitoa..swali langu kwako ni moja tuu..
Ni kwa namna gani unaweza kujenga msingi wa mawe kwenye ardhi ya udongo wa mfinyanzi..??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.