Recent content by Maturanya

  1. M

    Mfungo wa Ramadhani na Sikukuu ya Eid mbali na nyumbani

    Kwa kweli amekukosea akuombe msamaha
  2. M

    Wanaomtetea Mrusi dhidi ya uvamizi wake nchini Ukraine, Someni hii

    Dogo bado sana kujenga hoja.... hivi anajua au alishawahi kusikia Cuba missile crisis iweje russia akubali makombora kuwekwa kwenye mpaka wake kwanza Putin amekua mvumilivu muda mrefu sana
  3. M

    Johnny Innis, Mswahili wa New York

    hata mimi nilitaka kuuliza hili swali
  4. M

    Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

    MS kama akibadilisha mrengo wa maandishi yake atapata recognition kubwa sana.... lakini kwasababu yuko kwenye mission ya kupush ajenda ngoja tuone ..... mi nashangaa kweli ilikuwaje tena Mkapa akaja kwenye ajenda hizi.... au ndio kutafuta uhalali wa ajenda zenyewe
  5. M

    Tanzia: Mwalimu Bahiya bint Abdulrahman

    Hajaghadhibika amequote tu haya maneno ni maneno mazuri, Revelation 14:13 King James Version (KJV) 13 And I heard a voice from heaven saying unto me, Write, Blessed are the dead which die in the Lord from henceforth: Yea, saith the Spirit, that they may rest from their labours; and their works...
  6. M

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Umeongea vizuri Sana inawezekanaje Wayahudi watunzwe picha walizopiga na Hitler?
  7. M

    Hivi Mwl Nyerere asingekuwa Rais wa kwanza nchi hii kwa ukabila tungekuwa wapi?

    Kweli wewe ni 20's ni vizuri ume declare.
  8. M

    Uchambuzi wa Mtatiro J kuhusu ATCL kujiendesha kwa hasara

    Brother umechanganya madesa profit and loss ( income statement) Haitafuti hivyo, unachosema wewe ni kitu kingine kabisa.ununuzi wa Asset haungii kwenye p&l Kama normal expenses Kama wewe ni muhasibu karudie kusoma ifrs vizuri
  9. M

    Israel yaendelea kawaua Wairan Mpakani na Syria...itakavyo

    Waisrael wamegundua vitu vyingi Sana na wanaendelea kugundua Kwenye tiba,kilimo,it,silaha n.k, vifaru vyenye technologia ya hali ya juu,angalia wanavyo adjust mfumo wa ndege za kivita za kimarekani,iron dome e.t.c. Unasema chess .. ..... Iran saiz yake Saudi Arabia Wala sio israel, houth...
  10. M

    Israel yaendelea kawaua Wairan Mpakani na Syria...itakavyo

    Ni tishio kwa influence na itikadi anayoijenga ni tishio kwa baadae na so wanaona ni Bora kueliminate threat mapema, na si kwa Israel tu, kwa Saudi Arabia,UAE,Bahrain e.t.c Lakini kusema anaweza simama kijesh na Israel huo ni uongo, hata Saudi Arabia tu hamuwezi,
  11. M

    Israel yaendelea kawaua Wairan Mpakani na Syria...itakavyo

    Na hiyo exposure yako ndio unatuletea cheap hadithi like this hiyo exposure haikusaidii mkuu,Hivi kweli unaamini Iran inaweza kusimama na israel Kwa Vita hivi vya kitechnologia kwa miaka hii,si ajibu kidogo angalau arushe rocket ishirini tu golan tuone badala ya kupiga kelele kwenye tv, wenzie...
Back
Top Bottom