Recent content by Matungiza

  1. Matungiza

    JamiiForums Tanzania Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

    Siyo rahisi wengine zao zina gundi ya mbali lazima uisikilizie.
  2. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

    Nadhani kuna kitu zaidi ya hilo jina. Dada mleta uzi huo wimbo una nguvu nje kuliko humu nchini. Chuki za kutoka Tabata kwa Ali hazina nafasi.
  3. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna matatizo gani.?Tizama maajabu ya Zamaradi

    Mtoa mada ni mpuuzi wa kiwango cha kimataifa.
  4. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania Bara leo Tarehe 1.10.2017

    Kichuya safi sana, tatizo Omog
  5. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Omog mkishamfukuza tuleteeni sisi...

    Kwa hili bora Yanga mumchukue Omog tu, hafai kubaki Simba.
  6. Matungiza

    JamiiForums Tanzania King kuachia collabo lake na Rihanna.

    Uongo
  7. Matungiza

    JamiiForums Tanzania Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

    Mwanaume anajiita Kipusa, sisi kipusa ni kitu cha kukumbatiwa.
  8. Matungiza

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Clouds kumtosa Bashite Fiesta Dar.. Waalika wakuu wa mikoa yote kasoro Dar

    Shangazi ahsante kwa taarifa.
  9. Matungiza

    JamiiForums Tanzania Diamond we star kujipa majina mengi ni utoto

    Katoka kwenye kiota kaja kumwaga uharo jamvini.
  10. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

    Lukaku zaidi ya wote
  11. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, George Lwandamina: Mtibwa ni 'pasua kichwa' na wanajua kupambana

    Wqnadai, sina hakika eti kaenda kurinyuu kombora linalofungwa kwenye kibata anachokiweka juu ya kanyagio.
  12. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga maji ya shingo Msemaji afunguka yaomba msaada

    Hadi mwezi huu wa Septemba unaenda ukigoni, magugu maji bado yapo yamestawi licha ya hiki kiangazi kikali. Pale watengeneze bwawa tu la samaki. Serikali kupitia NEMC wapigeni marufuku Yanga wasijenge kwenye hilo eneo la wazi ambalo ni mapumulio ya bahari kulingana na uoto wa asili. Kuna...
  13. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtibwa yapania kuwaduwaza Yanga

    Yanga wamejitapa kuwa wale wachezaji wenye mahaba na Simba wameisha huko Mtibwa, waliobaki mambo safi tu.
  14. Matungiza

    JamiiForums Tanzania Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

    Mara nyingi vijana wengi huiga mifano mizuri ya mabosi wao. Bosi huyu sasa ana umri wa miaka 47 licha ya kuonekana kama mti mkavu. Katika umri huo hana mpango wa kuoa bali ku hang out na mabinti tofauti. Alianza kula wafanyakazi wake kama bint Embe, bint aliamini angefunga ndoa na bosi huyo...
  15. Matungiza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahama, mpangaji mwenzangu anakoroma hata Fuso lina afadhali

    Mbona anakuwa chumbani kwake?
Back
Top Bottom