Kuna wewe sasa na kuna mimi nauza icecream nimeshindwa kuagiza vijana nikiwaza mvua zikianza miez hii nitapata shida kuwarudisha na nisipowarudisha nitawalisha nini. Yaani wanivurugia mipango yangu yote, wawe wanajihakikishia hizo habari zao kabla hawajazileta kwetu jman, wengine tutoke ndio...
Aibu kwenu tanesco
Mimi nipo huku kijijini, unaongelea ruzuku ipi??? Acheni mambo yenu, vipi kutukata 2000 kila mwisho wa mwezi???? Nalenyewe tusubiri taratibu za kisheroa?! Huo utaratibu wa kisheria huwa unakuwa mrefu sana kama ni shida ya mwananchi ila ikiwa mnataka kuweka sheria kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.