Recent content by Matulo

  1. M

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mwenye hiki kitabu please, Paula Paul. Natanguliza shulrani
  2. M

    Ally Happi unakumbuka maneno yako haya kuhusu wazee wastaafu?

    Makonda alipomtukana Lowasa. Akawa, DC na hatimaye RC, ilikuwa chachu kwa vijana wa CCM walioanza mashindano ya kutukana wakubwa. Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
  3. M

    Serikali inastahili pongezi kukarabati reli ya Tanga na Arusha, lakini tunawakumbusha huduma hii haikufa kwa sababu ya tatizo la reli, tusibweteke

    Asante Synthesiser kwa kuleta hii hoja. Binafsi nimesikitishwa sana na jinsi Watanzania walivyoacha kufanya shughuli za ujenzi wa taifa na kwenda kushangaa ujio wa treni. Hali hiyo ilinikumbusha kisa cha kitambo kidogo. Kwa wale wakazi wa eneo la Mombo, njia ya kuelekea Moshi watanielewa...
  4. M

    Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

    Unamjua Zumaridi vizuri wewe unayetoa huu ushuhuda. Usifanye kitu kinaitwa 'one size fits all'
  5. M

    Baba na mwana ...! Kweli wakati si milele

    Thread za Mshana Jr. ni fikirishi sana, (Hakika, you are a 'Great Thinker')
  6. M

    Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

    Pascal unajidhalilisha sana. Kwa nini serikali ikikatae wachunguzi wa nje.hapo si tungejua ukweli
  7. M

    Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

    Wasure; kila zama na kitabu chake
  8. M

    Shetani kazini: Jinsi tunavyoshiriki ibada za damu na nyama bila kujua

    Hii article ya Mshana Jr in eye opener! Wanao sikia na wasikie Juu ukweli mchungu sana! Hakika shetani yupo kazini
  9. M

    Dar: Kitengo cha wajawazito Hindu Mandal Hospital matatizo

    Private vs Public sector. A Fadhili huduma za Muhimbili
  10. M

    Lazaro Nyalandu: Tanzania inahitaji Katiba mpya ili mihimili ya utawala iwe na mipaka iliyo wazi

    Ndugu Mudawote; Katiba inayokubalika ndo itayoweza kuweka usimamizi sustainable wa rasilimali zetu. Hebu tafakari vizuri juu ya maana ya Katiba.
  11. M

    Kweli naamini rais anachuki na watu na taasisi, hili kwa mabenki kakosea, hana data

    Check ownership ya TIB, 100% Government owned; nadhani mkazo uwepo kwenye compliance ya hizi benki; so that yanatoa huduma kwa uadilifu kwa maendeleo ya wananchi wote.
  12. M

    Jaji Warioba: Matamko ya viongozi hayasaidii kutatua tatizo la madawa ya kulevya

    "Hebu niwaulize, hii ni mara ya kwanza majina kutajwa, tukianzia list of shame, si viongozi waliharibiwa heshima yao, mbona hatukuona vyombo vya habari kuwatetea watu hao" Ni hivi, hakuna anayepinga vita dhidi ya dawa za kulevya Mzee wetu Warioba, tatizo ni appoach ya kutatua janga hilo...
  13. M

    Rais Magufuli amteua Bw. Dotto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

    Hongera sana Bw Dotto; kwa heri Dr Likwelile....atapangiwa kazi nyingine!!!!
Back
Top Bottom