Recent content by Matukutuku

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mti wa parachichi

    Wadau naomba kujua kwa utaalam wenu mti wa parachichi wa kiasili unachukua muda gani mpaka kuja kuzaa matunda.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mitaa gani Kariakoo wanauza baiskeli hasa za watoto?

    Bado mkuuu nitaenda over thw weekend
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mitaa gani Kariakoo wanauza baiskeli hasa za watoto?

    Mpya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mitaa gani Kariakoo wanauza baiskeli hasa za watoto?

    Asante mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mitaa gani Kariakoo wanauza baiskeli hasa za watoto?

    Wadau salama. Naomba kujua ni mtaa gani Kariakoo wanakouza baiskeli hasa hasa za watoto. Au kama sio Kariakoo, sehemu nyingine ambapo zinapatikana kirahisi. Asanteni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa yoyote ya kuondoa sisimizi ndani?

    Asante kwa ushaurii [emoji120][emoji120][emoji120]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa yoyote ya kuondoa sisimizi ndani?

    Mbona nasikia ni sumu? Mi nahitaji ambayo haina sumu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa yoyote ya kuondoa sisimizi ndani?

    Assnte mkuu nashukuru sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa yoyote ya kuondoa sisimizi ndani?

    Jaman wanajamvi hii changamoto ya sisimizi ndani mnaifanyajr fanyeje. Kuna dawa yeyote ya kuondoa sisimizi ambayo sio sumu manake naogopa watoto wadogo waliopo ndani kwangu. Msaada plz
  10. M

    JamiiForums Tanzania Napata wapi Viti vya Plastiki jijini Dar?

    Wadau kwema humu? Naomba kujua sehem wanakouza hivi viti vya Plastiki kwa jumla kwa Dar es Salaam apa. Pia nilisikia kwamba SIDO nako wanatengeneza ila sina uhakika naomba pia kujulishwa kwa hilo. Nawasilisha
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulikoni Ramadhani Kabwili (Football player)

    Nitumie na mm aisee sijacanikiwa kuionaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Kwa nini aisee??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Assnte sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom