Recent content by Matthias Marwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji msaada wa college fee.

    Mi ni mtoto wa maskini nimekulia kwenye shida nimefanya private candidate form six na kupata div 3 point 14 nataka kujiunga chuo mwakani lkn sina uwezo naomba msaada au info inayoweza kuniwezesha kupata msaada.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yathibitika: Kujamiiana kunatibu tatizo la Kipanda uso….!

    Hata mimi kabla sijaoa nilikuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo, lakini baada ya kuoa hilo tatizo liliisha automatically. Nilimwambia hata mke wangu. Kumbe chanzo ni hicho.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuchukua hatua.

    Tulipishana na mke wangu siku moja tukagombezana mimi nikajua yameisha lkn baadae nikakuta ameyaandika yale mambo yote niliyokuwa nikiyatamka na kuyatunza ndani ya sanduku lake pia kaongeza hata mambo ambayo sikuyasema. Huyu mke wangu nimempeleka chuo. Baada ya kumpigia simu kumuuliza ni nini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Demu wangu ana 'mashine kubwa' nifanyeje?

    Hahahahahahahahahahahhaahahah............ Dogo hapo panatakiwa ufundi si vinginevyo. Mi sikushauri utumie chinese drugs.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la Aweda kwa TBC alilotoa jana kupitia ITV Murua, Naiunga mkono

    Ccm wanajua wazi kabisa ujinga na uovu wao katika kuiongoza hii nchi ndo maana hawataki mambo yao yaonekane wazi kwenye vyombo vya habari.
Back
Top Bottom