nina kama interview 3 hivi niliomba kwa wakati mmoja na hawakuniita sababu ya kutokugonga muhuri wa mwanasheria birth certificate, japo nilifanikiwa kugonga muhuri na ku upload upya katikati ya kipindi cha matangazo kutolewa na kipindi bado hawajaita interview.
Ila ikaja NOT SHORTLISTED, huu ni...
Redmi Note 10 Pro (Global Version)
Used - Like New
Simu ni Clean sana, haina dents zozote.
128 GB ROM
8 GB RAM
108MP Camera
5000mAH Battery
Boss nmenunua iphone 12, sasa hii naipush
Nipe 550k nakupa box lake na accessories zote.
Mkuu, kamwe kwenye hii life usikae kizembe.
Uhitaji upo kwa kila mtu, regardless of circumstances.. ao wenye kazi kila siku wana fight wapate kazi zenye ujira mzuri zaidi ili watimize ndoto
hii kazi hakuna sehemu walisema kama una contract popote uwezi omba..
hivi unafkiri kwanini watu wanataka serikalini, af kitu kingine ukijichanganya tu ukawa umesahau ku change employment details baada ya contract yoyote ujue kuna mahali utaliwa panga..
Na nasisitiza, pdf wala details hazikueka...
Habari za wakati wakuu,
Mimi nina jambo dogo kwa upande mmoja ila kwa upande mwingine ni kubwa na linaathiri sana mtazamo wangu na wa vijana wengi sana wasaka ajira za serikali kupitia Sekretariat ya utumishi kupitia ajira portal. Wao wanaweza ona ni jambo la kuselect option fields (zile select...
Western Media Zinakupoteza, Naona data zako unatoa The Kyiev Independent ! Unategemea wakwambie nini kingine zaidi ya hizo propaganda za upande mmoja ?
Kama Ukraine anachezea na jeshi lake lina retreat, unaweza vipi ku confirm hzo data ilihali miji mingi anazidi kuikalia Urusi, ao wakusanya...
Nakushauri ujaribu kufatilia vizuri taarifa zako za NIDA, aisee wale walokua wanaingiza details wengi wao walikua wanakosea sana details za watu..
Jaribu kutafuta taarifa zako zilizopo NIDA ufanye comparison kama hazina dents, unaeza fika ofisi ya NIDA wakakuchekia
Sema sasa kuna mwanangu mmoja hivi juzi kati alinisanua kua aliomba ile post, ila hakutumiwa mrejesho wa kufanya aptitude test, hicho ndo kinanipa wasiwas sasahvi huenda wanaeza wakawa wameshaendelea na stage zinazofata bila kuwataarifu watu wengine ama pia inaezekana ikawa bado. Kama kungekua...
Habari Wakuu, Karibia mwisho wa mwaka jana Deloitte walitoa nafasi mbali mbali kada ya ICT, Position ilikua ni Zonal IT Associate. Baada ya kufanya maombi watu wakatumiwa response ya kufanya Aptitude test, tena ilikua online na kulikua na test tatu (Universal Cognitive Aptitude test, Employment...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.