Msaada: Updates kwa aliyefanya aptitude test ya Deloitte

mats_

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
398
296
Habari Wakuu, Karibia mwisho wa mwaka jana Deloitte walitoa nafasi mbali mbali kada ya ICT, Position ilikua ni Zonal IT Associate. Baada ya kufanya maombi watu wakatumiwa response ya kufanya Aptitude test, tena ilikua online na kulikua na test tatu (Universal Cognitive Aptitude test, Employment Personality Test na Emotional Intelligence Test).

Stage hiyo ilipita lakini mpaka leo hakuna feedback kwa wale waliofanya hzo test online. Je, Kuna mtu alifanya hizo test na kupewa feedback ama bado kila mtu hajapata mrejesho?

Lengo langu ni kuweza kufahamu kama stage zinazofata za interviews zimeshafanyika !!

Shukran.
 
Kwa ninavofahamu Deloitte huwaga wanakutumia majibu kwa njia ya email hatakama hujachaguliwa. So inawezekana bado hawajaitwa
 
Hata mimi nilifanyaga Interview(Oral)na hao Delloite mwezi January tarehe 17 pale kwenye Ofisi zao,na wale wadada wawili walionifanyia Interview wakaniahidi majibu ndani ya siku 10,leo umeshapita mwezi na wiki kadhaa wapo kimya!!!sidhani kama wapo professional
 
Sema sasa kuna mwanangu mmoja hivi juzi kati alinisanua kua aliomba ile post, ila hakutumiwa mrejesho wa kufanya aptitude test, hicho ndo kinanipa wasiwas sasahvi huenda wanaeza wakawa wameshaendelea na stage zinazofata bila kuwataarifu watu wengine ama pia inaezekana ikawa bado. Kama kungekua na mtu ashafanya stage zinazofata then ningefahamu tushapgwa chini wengine
 
Hata mimi nilifanyaga Interview(Oral)na hao Delloite mwezi January tarehe 17 pale kwenye Ofisi zao,na wale wadada wawili walionifanyia Interview wakaniahidi majibu ndani ya siku 10,leo umeshapita mwezi na wiki kadhaa wapo kimya!!!sidhani kama wapo professional

ulifanya aptitude kabla ya hiyo Oral mkuu ? kama ndio bas nijuze ilikua position ipi ?
 
Habari Wakuu, Karibia mwisho wa mwaka jana Deloitte walitoa nafasi mbali mbali kada ya ICT, Position ilikua ni Zonal IT Associate. Baada ya kufanya maombi watu wakatumiwa response ya kufanya Aptitude test, tena ilikua online na kulikua na test tatu (Universal Cognitive Aptitude test, Employment Personality Test na Emotional Intelligence Test).

Stage hiyo ilipita lakini mpaka leo hakuna feedback kwa wale waliofanya hzo test online. Je, Kuna mtu alifanya hizo test na kupewa feedback ama bado kila mtu hajapata mrejesho?

Lengo langu ni kuweza kufahamu kama stage zinazofata za interviews zimeshafanyika !!

Shukran.
mm pia nlifanya aptitude sijapata feedback hadi leo
 
ulifanya aptitude kabla ya hiyo Oral mkuu ? kama ndio bas nijuze ilikua position ipi ?
nilifanya Aptitude Test kisha nikaitwa kwenye Oral nafasi ya Communication and Knowledge Management Manager,karibu mwezi wa pili sasa hakuna feedback wakati waliahidi siku 10!!!hawapo professional kabisa
 
Hawa watu activities zao zimesimama kutokana na ukata bado bepari hajaweka mzigo, kuna uwezekano mwezi huu march mambo yatakaa sawa
wao wanapewa kazi na Taasisi fulani wawatafutie wafanyakazi wa fani A,B,C nk,wakiwapata wanawapeleka kwa waliowapa kazi wanalipwa chao,hivyo ukata wao hauwezi kusimamisha kazi walizopewa na wateja wao
 
Back
Top Bottom