Recent content by matren

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    umenikumbusha mbali nkya na alloys ni noma hasa kipindi cha pori mlima nguruwe na kuzima moto msitu sao hill
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

    Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu kuanzia form six. Umri kuanzia miaka 28 mpaka 38, plz kwa aliye serious tu, karibu pm.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba wa kiume

    Nina miaka 25, Muajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Mkristo mcha mungu. Niko mbeya. Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35. Elimu kuanzia form six, Mwajiriwa au aliyejiajiri, Mkristo mcha mungu.karibuni pm
  4. M

    JamiiForums Tanzania hv inakuaje

    karibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania mambo zenu jamani

    Karibu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba(Bussinesswoman) Anahitajika

    njoo pm
Back
Top Bottom