Elimu bure sio kitu kigeni.tanzania ya mwalimu iliweza na ikajenga viwanda vingi.tanzania baada ya mwalimu ikaua elimu na kuuza kila kitu.kibaya zaidi ikaaminisha watu serikali haiwezi kusomesha watoto wa maskini kwa shinikizo la wazungu ili wakishirikiana na wazungu watuibie vizuri.kama huamini...
ccm inaanguka kwasababu jk na serikali yake ilikuwa likizo na kujirusha kwa miaka kumi.deni la taifa limetoka 7trilion to 30 trilion lakini maisha bora hayaonekani.hela zote zimeliwa na wajanja.
Dr kumbe uwezo wake mdogo sana.ameshindwa kuelewa hili; THERE IS NO ANYTHING WHICH IS POWEFUL THAN A THING WHOSE TIME HAS COME. Haya mabadiliko anaeweza kuyazuia no mumgu tu.
Chadema wanaingia kama ukawa ili kuziba mapengo kama hayo.kama chadema wamepwaya utakuta cuf wako viziri.lengo ninkushika dola hakuna muda wa kichezea tena.mchakamchaka tu.
Mbaya wako akikupa zawadi huta sema asante?sio mtaji mdogo kupewa jimbo zima la monduli.alichofanya mbowe ni kutoa asante kwa lowasa.kiuhalisia sio kumkarisha na kuwapa matumaini waliohamia chadema
Population report indicates more than 60% 0f population are youth below 35 years of age.these are dynamic and form potential voting group which strategically amnd politically need relevant or corresponding presidential candidate.I might agree with Tundu being relavant to this group.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.