Recent content by Matonya Mazengo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Magufuli afanya Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya, ateua Wakurugenzi na kuhamisha wengine

    Soma katiba ya Jamhuri ya Tanzania utapata jibu ya sifa zitakiwazo ili uteuliwe kuwa waziri au naibu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huu mgogoro wetu na Malawi sio wa kuisha leo wala kesho

    Waenda wakamuulize marehemu Kamuzu Banda yale yaliyotaka kutokea miaka 1971/72 atawambia vizuri sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mo Dewji na Bakhresa nani tajiri?

    Angaliamaisha maisha yako, usiangalia maisha ya mtu mwingine.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

    Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la wachawi kufanyika mwaka huu Tanzania

    Je kama nikitaka kuhudhuria kongamano/kikao hicho ni nani anayetoa kibali? naomba unijulishe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Bunge la Oktoba halitakuwepo kama Sheria ya Kurasimisha Dodoma isiposomwa

    Spika wa Bunge ndiye msahafu wa Bunge lolote hapa duniani, hivyo yupo sahihi kusema hivyo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Kiongozi unaweza ukanipa au ukatoa maelezo ya kina kuhusu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huko Uganda anaitwa hivyo kivip? unaweza ukatoa maelezo ya kina kidogo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama mnadhani alichokifanya Mwalimu wa St. Florence cha ajabu, tembeleeni Kituo cha Ubungo SIMU 2000

    sikubaliani na hata kidogo, yeyote ile aliye shuleni ni mwanafunzi, ikitokea mwanaume akaanza mahusiano na huyo mwanafunzi hapo ana baka, hivyo haijailishi awe form one au nform six, ni lazima tupige vita tabia hii.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 kwa Urais CCM hawatatumia nguvu kubwa

    kinachotakiwa ni hoja na si lugha chafu kiongozi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kusikia simulizi ya nyoka kupaishwa kwenda angani kutokea baharini?

    kama ni kweli nakuomba utoe maelezo ya kutosha jinsi ilivyokuwa, na si vibaya kama utasema aina ya joka hilo na ukubwa wake kama vile size ya container, kama behewa la train nk. vinginevyo itakuwa ni hadithi tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Antony Diallo Amjibu Zitto aliyedai Ndege Dreamliner 787-8 ni mtumba

    Tafadhali angalia maada inasemaje, acha kukurupuka kama hujui kinachozungumzwa, mzee Diallo ameandika kitu sahihi kabisa, Diallo alianza kupanda ndege hata kabla ya kuwa waziri, sijui Zitto ameanza kupanda ndege baada ya kuwa mbunge?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ziara ya Rais Magufuli bandarini haikuwa na jipya, amefanya kazi iliyotakiwa kufanywa na Afisa wa TRA

    Zitto wewe ila wakati ni kutoa lawama tu, hakuna siku moja ukamuunga mkono Rais au ukampongeza tu. Usimgombanishe na spika kwa mawazo yako ambayo si sahihi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tulia Akson akatulie jimbo jipya Mbagala, Mbeya anapoteza muda

    Tu Tulia anaweza akagombea sehemu yoyote ile, iwe ni mbeya mjini, mbagala na anaweza akashinda kwa asilimia mia moja, hakuna asiye mfahamu Tulia hapa nchini.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tulia Akson akatulie jimbo jipya Mbagala, Mbeya anapoteza muda

    kumbuka wewe si msemaji wa wananchi wa jimbo la mbeya, pia kumbuka hakuna mwenye umiliki wa majimbo hapa nchini, Tulia anaweza akagombea sehemu jimbo lolote lile atakaloona linamfaa, likiwemo la mbeya majini, na atashinda kwa kishindo.
Back
Top Bottom