Tutabishana saana mkuu, lakini kama unaamini dini ntakwambia kitu na utaelewa, ishu ya maadili kwa vijana kwa Sasa inaonekana duniani kotee, imekaa kiroho zaidii, Hakuna siasa Safi wala miundo mbinu bora inaweza tatua swala hili.
Kwani mwalimu ndo kambebesha mwanafunzi hiyo mimba? Halafu kitu ambacho hujui mwalimu hata angelipwa million 10 ishu ya maadili inaanza na mtu mwenyewe, nenda shure za private wakusimulie yanayotokea huko. Hautakuja ku comment kimihemko tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.