Kama kosa lake kubwa ni kufanya uchochezi kupitia hiyo module aliyokuwa anafundisha nadhani tutumie busara kuifutilia mbali ili kuepusha wahadhiri wengine kuingia mtegoni na kujikuta wanafanya "ugaidi" bila kujua. Hatuwezi kuwa na masomo yanayosababisha uchochezi vyuoni. Futilia mbali hizo...
Wakuu kwanza kabisa napenda niutangazie umma kuwa bila kulazimishwa wala kushawishiwa nimeamua kwa dhati kutowatetea single mothers kwenye lolote. Acha wapambane na hali zao. Hawa viumbe wana namna nyingi za kukuharibia utulivu. Kuwatetea ni kupoteza muda.
Mimi nilivuta single mama mmoja mwenye...
Mleta uzi umezunguka sana. Ungeenda moja kwa moja kwenye point kwa kumsimanga Dr Samia Suluhu. Lakini ndo Rais wako hadi 2030 na kuna tetesi ataongezewa muda.
Serikali kufanya yenyewe biashara ina faida kwenye makaratasi tu ila kiuhalisia hakuna inachopata ukilinganisha na kama ingebinafsisha kwa sekta binafsi. Ndo maana nashangaa sana wanaosema bandari imeuzwa wakati kuendesha stendi tu imetushinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.