Huo mkutano ulikuwa na watu wengi saaana mpka wakawa wanakanyagana ovyo polisi wakawa wanafanya kaz ya kutuliza watu nakumbka fujo zilianza baada ya kushka kwenye helcopter watu wakaenda kumpokea hukohuko kurud wakakuta watu wamejaa na nafas hakuna nilikuwa hapo acha kupotosha
Ni kwel wanasumbua saana maanA ukinunua kile cha 25000 unatumia kidogo kwa speed mzuri cha kushangaza ikipita mda kidogo tu speed inkuwa vry slow mpka unashangaa na hapo itakaa ivoivo mpka mda wa kuisha ni kero kwa kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.