Imenigusa pia...cjui hata huwa tunaangalia nini lakini vitu vichache ambavyo navitaka ni pamoja na
Awe na imani ya dini, amjue na kumuogopa Mungu,akifanya hivyo ataniheshimu mimi nandugu zangu pia.
2. Nasabu...hapa nauangalia ukoo wao, magonjwa yakurithi, tabia jumla na style za maisha...
Zingatia ushauri huu,hasa kipengele cha tafakari ya toka ulipo zaliwa mpaka ulipofikia.jiulize akiwa na mimba yako alikutana na mangapi akayavumilia? Ukipata jibu utaona kuwa inabidi wewe umtafute sana mama kuliko yeye kukutafuta wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.