Recent content by matingas

  1. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mbunge Saashisha Mafuwe ni Hazina

    Sale ni mti unaoheshimiwa na wachagga.hautumiki hovyo labda kwa watu wasiojua maana ya kutumia majani ya sale.tusiwe limbukeni kutumia hilo jani kwamhemuko.mtaangamia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zitakufanya usipige Kura zoezi la Uchaguzi litakapofika?

    Kura yako haIna maana kwa kuwa wanakuwa wameshaamua nani ni nani kwenye kiti hicho
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    DAFTARI LA MAJAZI LITUMIKE KUTAMBUA WAHANGA tofauti upigaji utakuwepo tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mfariji mkuu wa taifa

    Kwa sasa DAFTARI laMAKAZI litakuwa la maana kwa ajili ya kutambua kila nyumba iliyokuwepo katika eneo la KATESH na kuchukuliwa na MATOPE kutoka mlima HANANG.Itapunguza watu kuweka takwimu za UWONGO.wapigaji wasipate nafasi kujinufaisha.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    Tusiwe wepesi wa kuhukumu.mbona habari yenyewe imepata umaarufu kupita kiasi.fikiria watu wanatoka walikotoka na kuwa watetezi wa familia UKARIMU WA AJABU. tupate upande wapili wa shilingi.subra subra teaches mihemuko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    Nimekaa njombe 1980 mpaka 1994 nakumba kipindi cha ujenzi wa barabara ya makambako hadi songea.nilifanya kazi ufisi za mifugo na Dr.Sinate then Dr mmoja mwanji.raha zilikuwepo kama member wa kibena club tushirikiana na wengi ambao wametangulia mbele za haki mzungu Christopher angilikana askofu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya APSEZ mbioni kupata tenda ya gati Bandari ya Dar es Salaam

    Walioshauri adani kuingia tanzani ni watanzani wenye ushawishi.walioshauri DP Kuja kuwekeza ni watanzania wenye ushawishi huko ikulu.ikulu ni mahali patakatifu alishasema muasisi wetu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya APSEZ mbioni kupata tenda ya gati Bandari ya Dar es Salaam

    Unaogopa nini ni mjadala unawaingia wengi kwa mama tatizo vyombo vikuu hawatangazi maoni ya watu wote zaidi ya serokali.sisi na wengine maoni twayapata katika maeneo mengi kama haya.vinasema kweli.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni CHADEMA kwa kupata ofisi mpya

    DP Muda ukufika watauza bandari ya bagamoyo waliyoikosa kwa wachina.tusubiri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huu Mkataba siyo Intergovernmental, Dubai siyo Nchi

    Leo nimesoma Zanzibar wameingia mkataba na kampuni tofauti kuendesha na kuboresha bandari zake kwa kipindi cha miaka5.soma hiyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Mbona loliondo tulishindwa tukawapa .mliwanyima bandari ya bagamoyo sasa wanaichukua kilaini.chezea mchina wewe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

    Waziri wa fedha na waziri anayehusika na uchukuzi wasingoje kufutwa kazi wajiondoe kwa kuwajibika kwa masilahi mapana ya TAIFA hapo hakuna kumumunya maneno.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana vipi walimu watatu wakafundisha wanafunzi 700 katika shule moja.

    Kuna shule Moshi vijijini jimbo la Vunjo la mweshimiwa Kimei inaitwa lyasongoro ni shule ya siku nyingi lakini ina walimu 4 tu.je hapo tuseme walimu hawatoshi au ni ugawaji mbovu wa walimu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

    Mama alisema anasoma JF na hili litafika kwake kuona ufuatiliaji wa yote yaliyotiririshwa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

    Mmiliki wa nembo ya biashara ni kweli kabisa wa Ester bus.LAKINI ,LAKINI LAKINI wenye kutumia hiyo nembo ya biashara kwa makubaliano wakawa wengi wakachangia ulipagi wa mapato na uendeshaji.Fahamu kila bus lina namba za usajili hivyo kila basi lina mapato yake kutokana na uuzaji wa...
Back
Top Bottom