Israel ni sehemu ya Afrika na watu waliokuwa wanaishi pale ni waafrika.
Namaanisha kwamba Africa ya leo imepatikana kwa kutenganishwa na mfereji uliochimbwa na mwanadamu Suezi Canal.
Hivyo basi Middle East ni North Africa. Pia Africa na the Middle East hatujatenganishwa na tectonic plate...
Naomba unijibu maswali haya mkuuu
1.kazi ya dhahabu ni ipi kwa hao miungu?
2.kwa nn waliondoka hapa duniani?
3.kwa nini hawawarudi tena kama waliondoka?
4.je dhahabu inayo chimbwa nyakati hizi bado wanakuja kubebe?
5.mtoto wa annunaki alikuwa mfalme akashangaaa mzazi kufa?wakatiti umesema...
Habari wanajamvi?natumai wote niwazima.
kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini.
pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba binadamu wamemuumba MUNGU,hii inatokana binadamu kushindwa kujua mwanzo wake nawaka amua kusema yupo...
Hoja hujibiwa Kwa hoja,utafiti hujibiwa Kwa utafiti.kunawatu wanabeza mawazo ya wenzao leta Yako tulinganishe Naya wenzako.mtu anajibu eti mzungu kashindwa yeye ni nani?akili za panzi hizi Kwani mzungu ni mungu ,yeye ninani kwetu?
Nishati yote duniani chanzo chakra ni jua,but can change from one form to another.kwahio mwisho wa uhai au maisha ni kufa Kwa jua letu.swali la kujiuliza Nini chanzo Cha jua?na chanzo Cha ulimwengu?after that you can define what is life?and where it came from and its original.
Kama nabii Musa aliomba amuone Mungu akamkatalia ,lakini akamwambia nitapita utaona mgongo (back head)Musa nabii wa Mungu akazimia baada yakuona mgongo wa mungu.wewe ni nani?umhoji Mungu,umuone Mungu,nivigumu sana Kwa binadamu mwenye mwili(nyama)kumuona Mungu.
Naminomba nijibu maswali haya:
1.maisha ni nini?(what is life)
2.chanzo Cha maisha ni nini?(source of life)
3.asili ni nini?(what is nature?)
4.source of nature (chanzo Cha asili ni no)
Kiranga ukinijibu haya ntaweza kujibi maswali Yako Kwa mungu hayupo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.