Recent content by Matimbwi Stan

  1. M

    JamiiForums Tanzania MAXMALIPO MNAKOELEKEA SIKO.

    kiukweli shirika la MAXMALIPO linatakiwa lijitasimini kwa namna linavyoendesha biashara yake, Sisi mawakala tumejitaidi Sana kutumia nguvu na akiri nyingi kulijenga soko, lakini kampuni ya MAXMALIPO inaliboma Soko kirahisi sana.mjitathimini jamani wapi mnaferi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Tunduma niwamajaribio au maana kilawakati mnakata tu. Nyaya zipo chini hamzioni?au hadi litoke janga.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilisajili laini mpya baada ya masaa matatu nivyoweka vocha nikaanza kukatwa,heti nadaiwa je nilikopa lini wakati laini ndio Kwanza inamasaa 3?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    VODACOM mlituambia kuwa yajayo yanafurahisha,lakini mbona yanasikitisha? Hasa kwa hapa TUNDUMA network limeshakuwa tatizo sugu hasa upande wa M.PESSA,maana Kila siku mida ya jion huwa tatizo kubwa,inamaana hamlioni hilo??[emoji35][emoji35][emoji35]
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

    Mbona husemi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Lissu si mkweli, Abeid Karume, Dr. Kleruu na Mahinda walishambuliwa kwa risasi

    Lisu Kaishiwa sera Kama walivyoishiwa wengine wengi, Mda wa KIKI ulishapita sasa ni mda wa kulisongesha mbele TAIFA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Sababu ulizo ainisha hazina mantiki na haziwezi kujenga hoja hata Kidogo, Kwanza umetoka nje ya Swali langu, Pili tundulisu hakukosoa juu ya makinikia bali Yeye ndie aliekuwa akilipotosha TAIFA kuhusu swala hilo na kulitwika zigo la uwoga TAIFA kwa kusema litanyolewa bila maji sasa yako wapi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Kwa nn kwa TUNDULISU iwe kipaumbele zaidi kuliko, mauaji ya watu wengi wa KIBITI, MWANZA na TANGA. tutumie ubongo kulifikiri hili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

    Acheni kuzusha mambo yasiyo na ukweli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

    Umetumia njia gani kuchunguza hili?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Chadema; makinikia na rasilimali za nchi kwa ujumla

    Yaani hapo kaongea pumba tupu, Hebu amuulize tundulisu anae wasaidia wezi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ili soka la Tanzania liendelee, Simba na Yanga zifutwe

    Halafu itoke nn?
Back
Top Bottom