Recent content by Matiko1981

  1. M

    Mlifanya nini baada ya mzazi kuwa anatumia pensheni yake vibaya?

    We umemtegemea kuanzia lini mpaka leo?pensheni ya kwake au ya kwako.we umejuaje anaitumia vbaya?au kakunyima mgao?Muda atakaokutegemea wewe c Sawa na Muda ulio mtegemea ww.
  2. M

    Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    KWA hiyo KWA akili yako unahisi hao waliotaifisha hizo Mali NI Malaika?na pesa wakaagiza zilipwe KWENYE acc binafsi,serikali haikuwa na acc za kuweka pesa za wahujumu uchumi?ikulu NI Mahala patakatifu hatupaswi kupeleka pale MTU tunaemtilia shaka.tuwe Makini sn KWENYE chaguzi zetu
  3. M

    Tabia ya kufikia kwa ndugu au kujaza ndugu majumbani haipendezi

    Afu ukiwa hujiwezi wala hawana time ya kuja kwako wala kukutafuta.subiri utusue sasa,NDUGU kibao.
  4. M

    Kwa aina ya vijana wasomi ninaokutana nao natabiri 2050 Rais wa Tanzania atakuwa mwendawazimu!

    Wanawaiga wakubwa wao.wakubwa wap Tu NI Bora chief MANGUNGO.
  5. M

    Utaratibu wa Kuchangia Pesa ya kuendeshea kesi ya kupinga Mkataba wa Bandari na DP WORLD wawekwa hadharani

    Watachangia wasiojielewa.yani nimchangie lusako?management ya hiyo pesa inakuwaje?tukishamchangia lusako KWENYE akaunti yake hiyo pesa NI ya Nani?ya kwake au ya Wananchi?watu wanatumia fursa hapa.
  6. M

    Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

    Tehe..tehe..tehe.....?mbavu zangu jamani.
  7. M

    Niffer: Nilianza na mtaji wa elfu 40, sasa hivi nashika hadi milioni 150

    Sijawahi kuona milionea aliesema ukweli kuhusu millions zake.ni story za kufikirika Tu.elfu 40000 uzichange mpaka mil 150?haya akina Dada na akina kaka,muwe na nidhamu na pesa.
  8. M

    Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

    Yesu anakuaje mungu?mbona tunachanganyana.kwa hiyo yesu NI mungu WA watu wote.
  9. M

    Club ya Barcelona inasheherekea siku ya LGTBQ Duniani

    Yupi anapaswa kupokelewa na kuabudiwa sasa?Yesu au mungu?
  10. M

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Kwa hiyo, serikali huwa inaajili waliopata division zero? Au kufeli mana yake nini? Muwe na shukurani na serikali yenu. Imejitahidi kuwafikisha hapo kwa waalimu makini lakini lawama kibao. Kweli binadamu hana wema. Mnataka mpewe gunia la ma...
  11. M

    Hospitali nyingi hawapendi Bima za Afya

    Wajinga tu.nchi zilizoendelea mostly hawtumii cash.lazima uijali Afya yako kabla hujaumwa, so lazima ukatie Afya yako bima.nchi kama marekani utafia KWENYE benchi na cash yako ya kuungaunga.
  12. M

    Wasomi Wakubwa na Wanasheria Wameupinga Mkataba wa DP world, Serikali rudini upya

    Hakuna tunachoweza kuendesha.wabongo wengi NI wezi tu.kama TTCL imetushinda tutawwza bandari?Wapewe Tu DP WORLD
  13. M

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wagoma kuhama kupisha Wawekezaji

    Wanalalamika nn?mbona wabongo tunakuwa waswahiliswahili sana.NHC wamenukuu kifungu walichotumia kuvunja mikataba na hao wafanyabiashara nao waje na kifungu kinachowafanya wang'ang'anie hapo.tuwe Makini tunapoingia mikataba mbalimbali ili tusichoshane.na hili nalo wanamtka Samia aingilie...
Back
Top Bottom