We! Lissu ni mbunge wa jimbo na raisi ni kiongozi wa nchi: lissu anasehem yake na raisi anasehemu yake sa kama kiongozi ataki kutoa bajeti: si tatizo la mbunge mbunge kaisha peleka bungeni: sasa imebaki kazi ya wizala zinazo husika kama vpi!! 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti!! Hawataki kuingiliwa mabo yao huku wanaingilia chaguzi za watu! Watawala wa Tanzania wana madhalau sana! Alafu wanajiona sana! Huku tunazidiwa kiuchumi na jilani zetu! Mimi niwaombe wezetu wajiongeze! Tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo; prof kitila Nahisi nimoja ya vipandikizi vya ccm ndani ya vyama vingine co msimshangae kwa maneno take ya kuropoka ropoka! Ila atambuwe yeye na wenzake hawatotbadali kamwe maana watanzania wamechoka na vigeugeu!! Kama hao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhuu! ati rissu muongo si mnajionea wenyewe jisi wanavyo jichanganga! Na bado watakuja na jipya: yani hii nchi ya magazea na midya kwa sana simnaona hata timu za taiga!
Sent using Jamii Forums mobile app
We! panya wa ccm,! Tafuta Kazi ya kufanya si upampe wa kijinga!! [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] huu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.