unaijua Zimbabwe ilipo kwa sasa au unaongea tu mkuu, tena kwenu huku wakipiga pini miez sita tu Keisha wote.....Hao Bbc,Cnn na vyombo vingine dawa yao ndogo sana. Kwanza ni kutimua hao reporters wao wa habari wanaofanya kazi Tz,pili,ni kuiga kile alichokifanya Mugabe wa Zimbabwe dhidi ya BBC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa mipaka ya bongo land yenu, Uhuru wake ni kumsifia tu mkulu, ukimkosoa tu kesho ndani unaitwa mchochezi c uchiz huo..Uhuru wa habari una mipaka yake kokote duniani. Hata huko Ulaya,uhuru una boundaries zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naheshimu maoni yako lakini inabidi tuwe waangalifu kama nchi na kinachoripotiwa na hivi vyombo vya habari vya nje.Acheni kuvisingizia vyombo vya habari vya nje
Tatizo la viongozi wa kwetu, wanakurupuka sana bila kuangalia impact ya mambo wanayofanya
Sasa wacha BBC,CNN etc wafanye yao
Makomeo mwenyewe ndio anafanya mambo ya aibu ya kulichafua jina la Tanzania, tena litachafuka zaidi ya hapo akiendelea hivyo, na hamna muwekezaji mwenyewe akili zake timamu atakuja kuwekeza TZ
Ninaamini kabisa na nilichokiandika. Nimepotoka wapi?Kweli kabisa wewe kwa akili zako timamu kabisaa unaona ulichoandika hapo ni sahihi kweli ? Au unakusudia tu kuzichochea akili za watu zitoe mapovu!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ni kweli kuwa Lissu amekamatwa kwa kosa la kumuita Magufuli dikteta?Wewe unajifanya huoni kinachoendelea mbona mnapenda sana shobo shobo kwa watu wenye madaraka, kwa vile wewe unataka vijisifa vya kijinga ndiyo unakuja kutufanya sisi wajinga.. Naomba kukuuliza uongo hapo ukowapi? Ili niamini hicho ulichoandika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Machadema hao ndo wapeleka habari za uongo huko kwa ajili ya kutaka kuivuruga nchi.
Mbinu zenu chafu tushazibaini.
Mtashindana lakini HAMTOSHINDA.
Karibu Kahama nyumbani kwangu nikuonyeshe kama nakula ugali au nalima na kuupata wa kwangu.Hapa Kazi tu
Kwani ni uongo?Naheshimu maoni yako lakini inabidi tuwe waangalifu kama nchi na kinachoripotiwa na hivi vyombo vya habari vya nje.
Mfano: Vyombo vya habari vya Kenya wanatangaza kuwa serikali ya Tanzania inaingilia uchaguzi wa Kenya. Hiki sio kitu cha kunyamazia tu. Tanzania lazima itoe kauli kama alivyofanya mh. Mahiga.
Hutaamini ukisoma taarifa za uongo zilizoandikwa na the so called "main stream media" kuelekea mashambulizi yaliovuruga nchi kama Vietnam, Iraq, Syria, Libya, n.k.
Historia ya mkasa wa Zimbabwe ni tofauti kbsaa na hili mnaloshabikia. Kwa akili yako,unafikir wapinzani uchwara wa Cdm ndo wataifanya Tzania iwekewe vikwazo? You have to be realistic,you guys.unaijua Zimbabwe ilipo kwa sasa au unaongea tu mkuu, tena kwenu huku wakipiga pini miez sita tu Keisha wote.....
Sent using Jamii Forums mobile app
I give up.Kwani ni uongo?
Mwambieni mjomba wenu atulie, watu washaushtukia urafiki wake na huyo jamaa wa kenya
tehe tehe tehe DNT