Recent content by matika wa matika

  1. M

    BUNGE: Hatuwatambui wabunge 8 wa CUF waliorudishwa na Mahakama

    Kumbuka kuwa Bunge ni muhimili kama jinsi ilivyo mihimili mingine- Serikali na Mahakama.
  2. M

    BUNGE: Hatuwatambui wabunge 8 wa CUF waliorudishwa na Mahakama

    DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE ANGANI, WAKIFANYA FUJO ZITAWATOKEA PUANI, ACHA KUWADANGANYA WENZAKO.
  3. M

    TCU acheni ubaguzi - IAA Mwanza ni gereji

    KUMBUKA KUWA VYUO VYA SERIKALI HUTOA GAWIO LA KISHERIA AMBALO LIPO LIPO KISHERIA, VYUO BINAFSI WANATOA PERCENT SERIKLAINI? HIVYO HAWAWEZI KUPATA RUZUKU YOYOTE SERIKALINI.
  4. M

    Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    USIMPOTOSHE MTU, HUU NI UWANJA WA KUPEANA USHAURI, KAMA HUNA LA KUANDIKA KAFAGIE UWANJA HUKI NJE.
  5. M

    Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

    Hizo taarifa umezipata wapi wewe? kwa nini mnaropoka kwa vitu msivyovifamhamu? hadi hivi leo hakuna anayefahamu labda mkuu wa nchi pekee yake. Baadhi ya watu mnashangilia mambo ya wale wageni waliotuibia mali zetu kwa muda mrefu, ninyi mnawafagilia ! hii ni nchi yetu huwezi hata siku moja...
  6. M

    Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Pole sana kwa kuandika kitu ambacho hukifahamu kabisa, uanshtakiwa kwa kosa gani? kwa kuwa tu unadai haki yako? hashtakiwi mtu hapa, fungeni midomo yenu isiyokuwa na subira.
  7. M

    Makarani wa vyama vyote na wahudumu wa IEBC waanza kupitia fomu zote

    Unajua tafsiri ya neno DEMOKRASI? nadhani hujui maana ya demokrasi kama ungejua usingesema kuwa hiyo nchi imetuzidi kwa kufuata demokrasi.
  8. M

    Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Nadhani hujui unachokiandika, wewe ni mtanzania kweli? hayo majambazi unayatetea? tunakushangaa saana! Polisi tunawaunga mkono kwa asilimia mia kwa kazi nzuri na ngumu mnayoifanya. cc. Mwigulu.
  9. M

    Bomba la mafuta Hoima to Tanga, matarajio makubwa ni kujidanganya

    Ni vema ukandika kitu baada ya kufanya uchunguzi, uasiandike kwa kuwa tu unapenda kupinga kila kitu.
Back
Top Bottom