naomba niulize jambo moja mkuu... ukianza hio kazi je unaruhusiwa kwenda kujiendeleza kielimu zaidi ya uliyonayo sasa?! na kama ndio inatakiwa ufanye kazi muda gani mpaka uweze kuruhusiwa kwenda masomoni?!
hii sentensi "shule ulieda kusomea ujinga"
umelirudia sana mwanangu em mpumzishe huyu mtu[emoji38][emoji38]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kwamba nae kwa namna moja ama nyngne kashajiunga kwenye system lazima aje kulia siku moja[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
pole sana... na siku nyingine soma vizuri hizo terms and conditions za mkataba kumbuka hawakupi msaada bali mnaingia biashara apo koo kua makini siku nyingine ila sidhani kama utarudia kukopa hata kwa mangi tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.