Recent content by mathsjery

  1. mathsjery

    Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

    This Binance Mining Strategy Made Me $1,500,000 in One Year Weiterleitungshinweis Binance mining profitable coins Weiterleitungshinweis How to Generate $300 Daily Passive Income with Binance Mining Weiterleitungshinweis Binance mining registration My Binance Mining Payout Hit $95,000 This...
  2. mathsjery

    Developers wa Tanzania

    Naam kaka
  3. mathsjery

    Developers wa Tanzania

    Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia. Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea...
  4. mathsjery

    Nimeingia cha kike kwa Mkenya aitwaye Mike Luswety website designer Mediapix

    SIO UMEINGIA CHA KIKE ULIFATA UTARATIBU AMBAO BAADAE UNATAKA KUUVUNJA. UNAPOTAKA WEBSITE TAMBUA KUNA MAMBO HAYA 1.OWNER WA HOSTING 2. RESELLER WA HOSTING 3. MTU BINAFSI MWENYE ACCOUNT YA HOSTING. WEWE ULIPOANGUKIA NI NUMBER 3 MFANO, MTU ANA ACCOUNT AME HOST WEBSITE ZA WATU ANALIPIA KWA...
  5. mathsjery

    Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Wewe ni MJINGA Natumia voda mpesa hapa nilipo we vipi tafuta device management humo
  6. mathsjery

    Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    NGOJA TWENDE HIVU ILI TUONE HAYO MADHAIFU YA APP YA MPESA Swali: akifungua/login kwa vifaa tofauti tofauti na kuingia anafunguaje bila kuwa na laini ya simu husika ? Na anatoka wapi pini za kufanya miamala? Inadukuliwaje na kwanini anatumia account Yako ilihali ili utumie huyo app ni lazima...
  7. mathsjery

    Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Iwe Nina ujuzi au Sina hayana maana unless utoe sababu kuu msingi ya Kuwepo hizo feature sababu hata mtoto anaona ni kama unachekesha genge. Hiyo cyber umesomea wapi YouTube au chatgpt?
  8. mathsjery

    Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Ndio mana nikakwambia wewe unatumia chatgpt na inakupotosha sana especially kwa hii context unahitaji elimu kubwa mno.
Back
Top Bottom