Recent content by Mathias Raymond Nyakapala

  1. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Kwa aibu hii Iran ameshaitamani Israel, US ndo kinga pekee iliyobaki

    Umeandika kwa mihemko na Chuki, ukitaka kuandika kwa kubalance story elezea historia ssio hisia zako!
  2. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanadamu tupo Duniani?

    Kwaajili ya kutimiza kusudi la Mungu tu!
  3. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Dodoma Nala Project

    Umeuliza nini[emoji15]?
  4. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Apartment zinauzwa jiji la Dodoma kwa milioni 130 tu

    Karibu sio Jirani hakuna risk yoyote zipo nje ya Mita za hatari zilizowekwa na Serikali! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Apartment zinauzwa jiji la Dodoma kwa milioni 130 tu

    Unaweza kujenga halafu ukapata matatizo so kimfaacho mtu......usiogope karibu tufanye biashara!
  6. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Apartment zinauzwa jiji la Dodoma kwa milioni 130 tu

    Promotion hii Mkuu!
  7. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Apartment zinauzwa jiji la Dodoma kwa milioni 130 tu

    DODOMA LANDLORD COMPANY(DLC) TUNAKULETEA HIZI HAPA APARTMENT NZURI ZINAUZWA. [emoji1485]mahali:-MICHESE DODOMA MJINI. MKABALA NA RELI YA SGR. [emoji1485]NYUMBA ZA KWANZA BAADA YA RESERVED ROAD YA RELI YA MWENDOKASI. [emoji1485]IPO KATIKATI YA ENEO LA MIGANGA NA MKONZE JIRANI NA USAFIRI WA...
  8. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Dodoma Nala Project

    NALA PROJECT. Kwenye Kata ya Nala hususa ni kwenye Barabara ya Mzunguko wa Mashariki inayotoka Morogoro ambayo haiingii katikati ya Mji,barabara ambayo itapitwa na Magari makubwa na Mabasi ya Mikoani(Barabara imepitia kuanzia Chahwa-Ipala-Nzuguni-Msalato-Mbalawala mpaka Nala) ni barabara kubwa...
  9. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Jiji la Dodoma pata hati miliki ya ardhi ndani ya siku 14

    PATA HATI MILIKI YA KIWANJA,NYUMBA AU ENEO LAKO(SHAMBA)NDANI YA SIKU 14. Kama unamiliki kiwanja au shamba au Nyumba na haijawa bado na Hati,au hapajapimwa sasa unaweza kupata majibu ya maswali yako na ukaanza kumiliki Eneo na Kiwanja Kihalali kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania. HATI ni nini...
  10. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vipya Jijini Dodoma

    Mkuu pole sana kwa dhana uliyonayo na pengine wewe ni Mwenyeji kwasasa Viwanja vyote tunavyoyangaza sisi vimepimwa na vina Hati zake hakuna maneno unayosema wewe kwenye comments zako,kama uliwahi kupigwa ni kwasababu ya kutaka vitu vya bei rahisi ila sio kununua Viwanja vilivyopimwa na kuwa na...
  11. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mapagale mawili kwenye kiwanja kimoja yanauzwa jiji la Dodoma

    Biashara ya Viwanja sio kama Biashara ya Vifaa vya umeme vya Kichina daraja ya mwisho,unaweza kuonyeshwa kwenye mtandao picha nyingine ukalipia ikifika unakuta nyingine na Muuzaji anakomaa ni ileile uliyochagua[emoji16] Viwanja kwanza Biashara tunafanya kupitia Wanasheria wetu au wako(kama...
  12. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vipya Mji wa Serikali - Dodoma

    Michese ipo piga simu tukupeleke site,hivyo ni Viwanja vipya!
Back
Top Bottom