Ngonjera zingine!!!!!! wote tunaweza kuitikia. Baada ya kifo kukukuta .' marehemu alikwa hivi.............................................. na mwisho wa shairi, ' kazi ya Mungu haina makosa jina lake lihimidiwe'. Ni kweli inauma sana kupoteza uhai wa mtu. Lakini ni kweli hatuwezi kutumia busara...
Ni kweli tunahitaji mabadiliko has ya kiuchumi, wengine hawajui wanahitaji mabadiliko ya aina gani, lakini kupongeza Chama kuwa kimepata Magari 200 huu bado ni utumwa wa fikra. Mwenzako ananufaika na familiya yake kisha wewe unampongeza kwa lipi? Je hayo Magari unanufaika nayo kivipi? Je umehoji...
Tuongee yote lakini ukweli usiopingika wavamizi wa madini wakivamia hata wewe leo hii unyeshabikia sijui upande upi hautatamani kuzaliwa Tanzania. Unajua wengi tumezoea kupata habari kwenye mitandao kupamba kwa ushabiki watu tu. Siyo kwamba nashabikia kitendo Police walichokifanya la hasha! Damu...
Nashindwa kuelewa hapa hoja ya mashabiki wa Vyama. Mtu amefiwa kisha unataka akupe ushirikiano wa aina gani huo badala wewe ndo umpe?. Tuache ubaguzi na maneno yasiyo na maana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.