Recent content by Mathew 97

  1. Mathew 97

    Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

    Kama utaweza tafuta sem town yoyote.iwe sehemu yenye mchanganyiko wawawtu yani pawe na mwingilino wawatu wengi hasa wanawake .then fungua biashara ya vipodozi na urembo yani uuze lotion, perfumes,urembo wote hasa saa zakiume nakike,cheni zakike nakiume quality zote,heleni zakike ,pia uuze na...
  2. Mathew 97

    Ipi ni thamani halisi ya mbususu?

    We jamaa bila shaka utakuwa mhitimu UDOM Au utakuwa mwaafunzi UDOM.maana hzo course Code za LG hujakosea na hzo blocks nmba ,tena block 10 ya girls 🤣
  3. Mathew 97

    Dhambi ya Zinaa, Ngono, Uzinzi na Uasherati

    Kabsa yaan anasahau kuwa chanzo kingn ukiachana na tamaa cha wanandoa kusalitian na kuchepuka nikuwa huwa hawaridhishwi nawenza.mfn mwanamke kutofrahia tendo kiujumla.akijaribu kwa wengne tyr anasalit maan anakutana navitu hajawah fanyia ikiwepo kuandaliwa vzur kabla ya tendo, kuandaliwa kwnyewe...
  4. Mathew 97

    Masundosundo ya kwenye Uume yananisumbua sana. Nimetumia kila dawa imegoma. Msaada wa haraka nahitaji

    Kuna dawa hivi huwa yakupaka.siikumbuki vzr jina.but inauzwa bei mkasi nakama haijakomaa niweek tu vinapotea.sema nmesahau kma upo serious nichek PM niifatilie nikujuze.pia piga vyakula vinavyojenga kinga mwili zaid. Ni PM ntakusaidia
  5. Mathew 97

    Polonium 210 ninini?

    🤣🤣🤣Umejuaje !?.lakini b4 yoga hii ishu niliwahi isikia habari zake kuhusu kuua jasusi mmoja huko nchi za wenzetu,
  6. Mathew 97

    Polonium 210 ninini?

    Ok,nmekupata,so it burns cells,Asante
  7. Mathew 97

    Polonium 210 ninini?

    Brother shukrani,lakini mm nlihitaj mtu anisaidie aielezee inshort hii element ukiachana na ishu za Google..
  8. Mathew 97

    Polonium 210 ninini?

    Ok.ni element ,then ninini hiyo Polonium 210,nilihitaji kujua mechanism yake, inaathiri vipi mwili, inshort hii element naiskia kwajuu juu tu,any briefly info about it.
  9. Mathew 97

    Polonium 210 ninini?

    sjaelewa mkuu
  10. Mathew 97

    Polonium 210 ninini?

    Habari wana JF,Moja kwa moja naomba kuuliza hii polonium 210 ninini , inafanyeje kazi na inaathiri sehemu gani zaidi kwenye mwili wa mwanadamu,inatengenezwa na material gani,ni ipi tofauti yake na polonium 110??.nawasilisha.
  11. Mathew 97

    Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    🤣🤣🤣 🤣🤣🤣
  12. Mathew 97

    Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    Kwas Kwasababu walijua ni wanawake.over.
  13. Mathew 97

    Ulaaniwe umasikini! Kuwa jobless umekuwa mzigo mzito sana kwangu

    Mku pole Mkuu pole sana.usikate tamaa one day yes,huenda siku nzuri zaja.hiki nikipindi unapitia kama kukufundisha namna maisha yalivyo.siku ikifika utakuwa tayari mwenye nguvu
Back
Top Bottom