Recent content by Mathethamathetha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mjadala mzito unaendelea juu ya video ya 'Monalisa' akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Magufuli

    Nenda kamsome kule Insta utakuona alichosema.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uhamiaji: Askofu Kakobe asisitiza yeye ni mtanzania. Ang'aka watu wa Kigoma tu kuhojiwa kuhusu uraia

    Lakini ukiisikiza sauti yake kweli, na kuyatenda yote ninenayo mimi; ndipo mimi nitakuwa ni adui wa adui zako, na mtesi wa hao wakutesao. Kutoka 23:22
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uhamiaji: Askofu Kakobe asisitiza yeye ni mtanzania. Ang'aka watu wa Kigoma tu kuhojiwa kuhusu uraia

    Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu. Mathayo 5:11 - 12
  4. M

    JamiiForums Tanzania TRA mmemkosea Kakobe na kanisa la FGBF, mnapaswa kuomba radhi

    Hilo neno kisiasa nimelipenda, ndio linaondoa hata kufuata sharia zilizowekwa na linaleta mihemko, mtu anafanya jambo bila kufuata sheria ili aonekane na wakubwa kwamba na yeye amefanya. Alafu Mtu huyo ni msomi kabisa na madegree yake!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

    Yani nimecheka kama kichaa, yani JF kiboko
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha wanasiasa wa Tanzania

    :(:(:(:(
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi wanashindwa kufanya homework wanazopewa

    Mara nyingi ke ndio wanawasaidia watoto kufanya home work
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hutabiri wa Mbunge Prof Jay huu hapa . Ulifanyika mwaka 2007 .

    Hutabiri ndio nini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari kufika 2020, maandalizi yameshaanza na kufika pazuri

    Ahahahahaaaaaaaaa du :D:D:D:D:D:D:D:D:D
  10. M

    JamiiForums Tanzania 52 weeks saving Challenge... Hivi watanzania Tuna Shida gani?

    Exactly, that's how it is
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwann wafanyakazi wa ndani hawadumu km zamani?

    Umesema kweli, msichana wa kazi akiwa na simu hasa hizi smart phone! utakoma
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama kuna mtangazaji mkubwa wa redio na Televisheni za kiswahili ambaye hajapitia ITV na Radio one

    Ivona Kamuntu, Barbara Hassan, Masoud Kipanya ni watangazaji wazuri tu na sidhani kama wamewahi kufanya kazi ITV na Radio One
Back
Top Bottom