Recent content by mathematique

  1. M

    Ni wakati wa Ali Kiba

    Hii picha ina tafsiri yoyoye ktk mambo ya kiroho Mshana Jr ? :D:D:D:D:D:D
  2. M

    Tukio hili linadhihirisha kuwa Vyombo vya Usalama kitengo cha Intelejensia ni mfu/hakina weledi

    Alichokimaanisha mleta uzi, siyo kwamba vyombo vya usalama visichukue hatua kumlinda kiongozi wetu. Hoja yake ni namna walivyolishughulikia suala hilo kiasi cha kuleta taharuki kwa raia na hata Rais mwenyewe (maana jana hakuwa sawa obviously). Wangeweza kulidhibiti kimya kimya na mambo yakaenda...
  3. M

    Evarist Chahali: Kuna kiongozi wa nchi jirani ana "compromising information" kuhusu kiongozi mmoja "Mkubwa"

    Mimi niliwahi kuuliza maswali yanayofanana na haya humu humu jukwaani lakini sijapata majibu!
  4. M

    Nikki wa Pili ayape heshima mavazi ya kitaaluma. Achague kuwa PhD holder ama abaki na swagger zake za kisela

    Kuna mahali pameandikwa how a PhD holder should behave, labda kwa bahati mbaya hujawahi kupasoma! Kwa kuanzia tu, ungeanza kufahamu lile gauni linalovaliwa wakati wa mahafali lina maana gani, kofia (na zile pembe zake) au kile ki mkia (tassle). Pia hudhuria mahafali mtu anapokuwa anatunukiwa...
  5. M

    Taja maneno ya Kitaaluma uliyoyakariri ulipokuwa Chuoni hadi sasa unafanya Kazi hapo ulipo

    Mimi nilikariri neno "Water Reservoir". Lakini kwa bahati mbaya inaonekana Reservoir imetoboka na 'Litre 1.5 Trillion of Water' zinamwagika nchi nzima na imekuwa tepe tepe!
  6. M

    Unakumbuka Enzi za Kalapina?

    Alakati mkuu au Harakati?
  7. M

    Moses Machali: Je, Zitto ni mbadhirifu ktk kile kinachoitwa ubadhirifu wa trilioni 1.5?

    Machali, ni hivi: Kusema kwamba pesa zimeibwa au zimetumika kinyume na utaratibu ni Research Hypothesis, na kwamba Bunge lifanye uchunguzi ndiyo Research yenyewe, period. Mbona ni rahisi sana?
  8. M

    Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

    Baadaye mwl. alishauriwa na kamati ya nidhamu kuwa wote (yeye na mwanafunzi) walikuwa na makosa. Kwamba hata kama mwanafunzi alikuwa na makosa, angemwadhibu kwa taratibu zilizowekwa kisheria. Pia nahisi walimu wenzake watakuwa walimsaidia kufundisha kwa approach tofauti na ile ya awali maana...
  9. M

    Ni nani aliyeacha alama ya mguu kwenye jiwe hili la Morogoro?

    Hivi wakuu, lava mbichi inakuwa na temperature kiasi gani? Na je, mtu anaweza kukanyaga humo na akabaki safe?
  10. M

    Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

    Wakati nikiwa Sekondari, kuna siku kulitokea ugomvi darasani kati ya mwl na mwanafunzi. Ilikuwa hivi: huyo mwl alikuwa akifundisha Chemistry, ila ki ukweli alikuwa mwl 'siyawezi'! Nadahni watu wazima wananielewa hapa. Sasa kuna mwanafunzi badala ya kumsikiliza mwl, akawa anaandika nukuu (notes)...
  11. M

    USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    kwenye Psychology kuna kitu kinaitwa cognitive consistence unapotaka ku change attitude ya mtu. Inafanya kazi hivi: Kwa mf unamshauri mtu aache kuvuta sigara kwa kuwa ina madhara makubwa kama Cancer, TB n.k. Sasa huyo mtu badala ya kuona madhara ya Tumbaku, anaweza kukuuliza maswali haya: 1...
  12. M

    Tulio na madigrii tunaaibishwa sana na failures aisee! Nini maoni yako?

    Hoja ya huyu Mbunge na wa tz tulio wengi ni nyepesi mno. Yeye alipomaliza Std 7, moja kwa moja alianza kutafuta pesa. Huyo Graduate alienda sekondari (6yrs) na chuo (3+yrs). Kwa hiyo ni suala la muda tu, wangepimwa mafanikio yao pamoja kama walianzia harakati pamoja. Lakini kitu kingine ni...
  13. M

    Ukitaka meseji yako ifike upesi, lifanyiwe Kazi na ule Hela mtumie tu Mwanamke mweupe

    Huyu jamaa kumwelewa huwa ni vigumu sana, ila anaeleweka sana we tuliza kichwa tu!
Back
Top Bottom