Recent content by Mathematicien

  1. M

    Jengo laungua moto Kimara

    Kwa walipo maeneo ya kimara baruti tuambieni kinachoendelea kwenye huo moto mkubwa unaoteketeza Nyumba hapo karibu na Bahama mama
  2. M

    Je, Mbowe alipataje cheti cha Form Four ilhali hajawahi kufanya na kufaulu mtihani huo?

    Hivi unaijua Elimu ya Jacob Zuma? Je unajua Sam Nujoma aliishia darasa La NNE? Aliiongoza Namibia kupata Uhuru na hatimae Rais na baada ya kustaafu alienda kusoma? Je unakumbuka kwamba Jk alikwenda Brazil kuomba msaada na Baadae Rais wa Brazil akaja hapa na kuahidi msaada? Luis Inasio Lula Da...
  3. M

    Kwa taarifa yako

    Ila kama ilivyo kwa nyuki akishagongwa anataga mayai mengi yanayotoa nyuki wengi sana tena wanaume wote isipokuwa kama kunakuwa na jike linafichwa mapema sana na wafanyakazi kwakuwa Malkia akigundua analiharibu.hivyo hata dunia ingekuwa na wanawake wachache kama ilivyo sasa kwa nyuki
  4. M

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Dar, Dr. Didas Massaburi afariki, Rais atuma Salamu za rambirambi

    Kifo cha mapema kivipi? Yaani ni mapema kabla au baada ya nini? Hakuna ajuae hatima yake,kuna wanaozaliwa na kufa hapohapo hao wamekufa mapema.
  5. M

    Mauaji ya polisi wannne Dar, Mh. Magufuli amweke Mwigulu Nchemba pembeni na kufanya uchunguzi

    Hivi utanyang'anya bunduki Mbili au hata nne kwa ajili ya siasa? Ingekuwa hivyo wakina Salva kiir wangekuwa jela wala Sudan kusini isingekuwa huru Leo.Serekali inaacha kudeal na wahalifu inaongea siasa.ujinga ulioje Chama cha siasa kikaue Askari wawili? Viongozi wetu tunaomba muanze kufikiri...
  6. M

    Waijua nchi ndogo ya Lebanon ndani ya Tanzania?

    Nimepata hofu kuu juu ya nchi hiyo ya Lebanon ya Tanzania
  7. M

    Ajali mbaya Traffic Light za njia panda ya Jet/Lumo

    Nimeiona hiyo ajali nimeumia sana moyoni
  8. M

    Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    Hayo majibu ya waziri mkuu yananishangaza,niliwahi kuajiriwa kiwanda cha blankets unapewa limit ya uzalishaji kwa siku na kwa wiki kisha kwa mwezi huku una muda wa mwisho wa kuingia kazini na muda wa kutoka,hao mnaowaongoza sio wehu wanajitambua.acheni majibu ya kitoto
  9. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Mimi nadhani rais ndio kiongozi wa juu kabisa katika taifa hili akirejea nchini huwa hafichwi fichwi na kama ni swala la usalama rais ndio anapaswa kulindwa na kifichwa kwa kiwango cha juu kuliko cdf.sasa inakuwaje leo mwamunyange anarejea anaonekana na gazeti la chama tawala tu.na serekali...
  10. M

    Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    Ukiona mtu anafatilia ukabila ujue anataka kutambika vinginevyo amefilisika
Back
Top Bottom