Kijana aliyekuambia TPB iko hoi kakuingiza Chaka mimi niko TPB nakwa miaka yote toka aingie mkurugenzi mpya sabasaba kitewite moshingi benki inatengeneza faida NA kila mwaka faida inaongezeka. kwa sasa TPB Bank inafanya vizuri sana kujirishisha kaangalie msimamo wa mabenki yanayofanya vizuri...
Inapendeza kama tumebadilika. Ndama secondary iko wilayani sehemu nzuri ambayo kila mwalimu angependa kufundisha. Ina miaka 14 hakuna mwanafunzi ameshawahi pata japo B tu ya hesabu kweli hapa unaniambia tuna walimu kweli?
Kwa sasa naomba nikiri kuwa ELIMU yetu iko ICU inaelekea kwenye jeneza ama kaburi ifukiwe NA kupotea kabisa. Kuna mambo tutabishana lakini kwa hili naomba mnielewe.
Nilikuwa najaribu kuongeza ELIMU ya computer out na kwa bahati tunapata wasaa wakufundishwa na walimu wa out. Kuna mkurugenzi...
kiongozi ukizungumzia maji nakuelewa sana kiongozi wangu. namimi napenda niongeze mchango wangu japo kidogo kuhusiana na mada hii.
naaamini tatizo la maji kama yalivyo matatizo mengine mengi sana yanahitaji mabadiliko ya jinsi ya kufikiri. natamani sana tungetathimini ni kiasi gani cha maji...
Niko njiani napita Babati natokea Dodoma. Kwa wanaopajua smart hapa Babati kuna vijana wamenichekesha sanaa hapa wamepita wamevaa flana zilizo chorwa ukuta na nembo ya CHADEMA.
Sasa mchoro wa ukuta sijui utapataje kirefu cha ukuta wa CHADEMA. Dah huu ni ubunifu mzuri sana big up
Heloo, nafurahi Leo kushiriki japo salamu na wadau humu JamiiForums. Hii ni mara yangu ya kwanza kutia mguu humu ndani. Na nimelazimika kuingia humu baada ya kushuhudia uhuru na uwazi uliomo humu ndani. Watu wananafasi ya kusema kuchangia na kukosoa. Huu haswa ni utamaduni wa kisomi ni utamaduni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.