Wanatakiwa kupatiwa support ya kisaikologia! Na kama hawana hata msingi wa biashara nyengine tofauti na hiyo basi waweze kushauriwa kujiunga na vikoba na kupatiwa mikopo ya biashara ambazo zinaruhusiwa kisheria!!
Good news kwa vijana! kwa sababu zama hizi vijana wakilala wakiamka wanawaza mambo hayo tu! Huwa hawajui kwamba huo mchezo hauhitaji kuinua vyuma kupitiliza! pia wanatakiwa wajue kila kitu ni kiasi, ukipiga sana chuma, uume unaweza ukasinyaa au ukaathiri mishipa ya kuumeni!
Kwani ndugu yangu kunako mwanaume watafuta nini?? Kama unataka mwanaume basi huyo apatae kidogo ndie
bora; kwanza wa hivyo huwa ana utulivu anajali na anakua na mda na wewe! ilimradi tu asiwe mlevi...
Sasa hebu fikiria mwenye uwezo wake atakua na sifa nilizotaja! au uliza walio wapata jee...
Habari za siku nyingi wana JF,
Nimekua nje ya hadhira kwa siku nyingi hadi nimehofia kutumbukizwa katika orodha ya R.I.P. members. Baada ya salamu hizo napenda niwakilishe ninachokiona katika jamii zetu zinazo tuzunguka kwakweli hadhi ya wanawake inashuka.
Hapo nyuma kidogo kwa sie ambao umri...
Kama amekupenda kwa dhati basi utaishi vizuri tu wala hatakumbushia, ila ni muhimu usikurupuke, wametengana hata mwezi bado ukajifanya kidume kuziba pengo, mara nyingi wapenzi huachana kwa muda kwa hasira ilihali wanapendana!
Ukimpenda wa hivi basi umfuatilie kwa muda usiopungua miezi sita...
Kwa kazi aliyonayo usishangae sana, na kama ni primary school basi hali inakua mbaya zaidi! unavyomuona ni mwanamke anaejiamini? na jee kiwango chake cha wivu unakionaje? hebu jibu hapa halafu tujaribu kuangalia mengine !!!!
Yaani akipanga outing lazima awe amejiweka vizuri, vinginevyo inabidi akwambie mapema kwamba utaratibu utakua upi, siwezi nikatoka na mwanamke hata kama ni milionea halafu nikamuachia alipe labda aniombe sana kufanya hivyo !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.