Habari Wana jamiii nauza television aina ya sumsung old model kwa bei rais lakin ina tatizo kidogo la kubadilisha kiooo Ila ina Waka vizuri kwa bei cheee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcer weka map juuu tuichambue ikibidi ata kesho tuingie Australia maana ipo vzr ki pesa na kiajira ata kama ni four muhula wa pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jpili wapendwa naomba kupata kufahamu kuhusu kuingia nchini za wageni kutafuta maisha kwa kupata njia raisi na kama una ndugu yako njeee ya inch mfano marekani anafanya vipi kukupatia mualiko wa kwenda samahan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi me pia na tamani kufanya kazi Australia lakini elimu yangu ni kidato cha nne sina ata satifiketi zaidi ya kuwa na kipaji cha kuogelea tuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.