Recent content by Matewe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kunatofauti kubwa kati ya mwalimu au mkurugenzi na mkuu wa mkoa.hatuhitaji mtu mwenye degree au cheti kuongoza mkoa tunahitaji mtu mwenye utashi wa kisiasa. Ndio maana elimu ya mbowe haieleweki ila anapiga kaz acheni nongwa acha makonda awanyooshe wabwia ngada
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kutibu Virusi vya UKIMWI: Drug Is Found to Eradicate HIV Permanently from Infected Cells

    ndugu kumbuka tafasiri ya siasa kibongobongo hailingani na nje ya bongo, wanasiasa wabongo wameegemea facts badala ya truth acha kuwatetea.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wadada-Msituone na mikwara mjini nyumbani hali iko hivi!

    hapo ni hatari, hakuna mtu hapo
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yasambaratishwa: Mjumbe wa NEC Taifa na Uongozi wa wilaya wahamia CCM, ofisi yafungwa

    huko ni kujipa moyo tu hakuna cha roho walamwili acha upotoshaji,unafahamu vizuri ushirikiano wa roho na mwili www?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

    hapo itakuwa nafuu kwa taifa
  6. M

    JamiiForums Tanzania IGP Mwema ameibiwa upanga wa dhahabu wa kilo tatu

  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtawa Mkatoliki apigwa Zanzibar

    Mungu saidia watu hawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni, Pepo Kali la Ngono linanimaliza...

    kwakweli ndugu nakushauri sana utafute mtu ambaye yuko vizuri katika imani ili akusaidie maana hilo jambo sio la kawaida, omba Mungu atakusaidi ,i believe in God na nimeshuhudia watu kama wewe wakitoka kwenye case kama yako
Back
Top Bottom