mimi nadhani hawa ukawa ni wakuheshimu sana maana si wao waliopeleka rasimu bungeni bali wao wanataka maoni ya wananchi yaheshimiwe wenzao wanataka kuheshimu maoni ya jk na nape nawaomba watanganyika wote tuwaunge mkono ukawa hadi ccm waone aibu kurudi bungeni mwezi wa nane
ccm wanadhani kuna wanachofanya wao wajidanganye na wingi wao wapitishe hilo likatiba lao la ccm sisi tuwasubiri kwenye kura ya ndiyo na hapana hapo ndipo watakapoiona aibu yao kila mmoja atajiona yuko uchi kwa maamuzi yao.
ccm huwezi kuwaelewa wewe ukiona watu wazima na akili zao wanajitoa ufahamu ogopa sana mfano mwakembe kitabu chake kinasema serikali tatu yeye leo anasema mbiliwewe utamwelewa?? mtu mzima anashindwa kusimamia anachokiamini huyu ndo mlisema atafaa kuwa raisi??? rais kigeugeu??
Kwa wale walioangalia bunge leo wamesikia hoja zinazotolewa na kamati mbalimbali kuwa kuna hoja za wengi na hoja za wachache sasa naomba kila mtanzania alieangalia bunge aniambie ni hoja zipi zinawakilisha maoni ya watanzania ni hoja za wengi au ni za wachache napenda tujadili na niombe...
sasa mud hebu tuambie post kana hizi ni za nini ?kama si kuzuia nafasi ya wenye matokeo kutupa update mtu anaandika matokeo utayapata hapa halafu anaenda kulala maana yeke ni nini???
Mimi mbowe nampenda bure mwambieni rpc aseme ni kifungu kipi kinampa mamlaka ya kupangia watu usafiri wa kutumia wawapo kwenye shughuli zao za chama???
hakuna ubaya ila tuambie kwanza sheria ya uchaguzi inasemaje?? mgombea anatakiwa awe na elimu ya kiwango gani ?? na kanma haitaji kiwango cha elimu wewe elimu yake unaitakia nini mbona lusinde kaishia la nne sisi hatuulizi elimu yake? au wewe unadhani elimu kubwa ndo uongozi bora ? mbona kapuya...
mkuu ni kweli huwezi kuelewa lakini cdm au wapinzani wanaposena daftari liboreshwe si kwamba watakaojiandikisha ni wapinzani tu bali wanataka kila raiya apate haki yake kikatiba bila kujali ni wachama gani
NB Wapinzani hatutetei wapinzani tu tunatetea wananchi wote
aminangalo wewe ni lini umekuwa mwana chadema ?? umejitahidi kuandika lakini umechemka kwanza nikuambie wakati arusha wakiweka taa za barabarani huyo unaemtaja kuwa alikula cha juu yaani msofe wala hakuwa diwani sasa sijui alikulaje cha juu
hukumbuki kazi ya prfesa kapuya na bint yatima au huo sio usomi?? watoto wetu wanauza madawa ya kulevya hakuna wa kuwakamata wewe ni nani unaeshindana na serikali???
swala la kudharau ujumbe wa kakobe sio wewe hami D umesema hata ujumbe wenyewe umesema hivyohivyo kuwa mtadharau, mtakejeli, mtabeza . lakini naneno ya mungu yaliyoletwa na mtumishi wake kakobe yatasimama maana mungu haogopi dharau wala kejeli nyie subirini muone kwani 2015 ni mbali???
kuna habari mbili nataka uzisome na unipe tafsiri kama ukiweza
1}Rais kikwete aitangazia dunia mapambano juu ya ujangili
2}wachina waliokamatwa wakisafirisha meno ya tembo wahukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shilingi milioni moja
Naomba msome kauli hizo mbili hapo juu ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.