Yaaani mahusiano miezi saba tu unataka kuweka ndani? Alfu hata Mzigo ujawai kula? Piga chini jambazi huyo, uliemkuta hapo ndio bwana wake wewe anakunyima uyo jamaa aichakaza anavyotaka😎
Huyo jamaa ache Ujinga, Ajikaze kama mwenzak alivyojikaza kwa watt wawili, kingine Afahamu pia katk ndoa nyingi wagu wanalea watt ambao sio wao🚶♂️🚶♂️🚶🚶
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.