Bi kiroboto si kwamba hana nyumba,si unakumbuka nyumba aliyukuwa anakarabati maeneo ya kijitonyama akafunga na barabari ili kupisha ukarabati?.Lkn sasa nahisi anataka kwenda another level ya kumiliki nyumba.Alizonazo ni vijumba na sasa anataka kujenga jumba.
taarifa ya idadi ya trip za JK inatisha.Lkn hali kama hii ipo pia kwa wakuu wa masirika yetu yanayotumia fedha zetu wanazotulipisha kodi kwa nguvu (PAYE).Kila siku ma MD na ma DG na ma ED wako safari majuu na perdiem si chini ya $420 kwa siku na marupurupu mengine ya safari.Kuna siku patakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.