Recent content by matemabi

  1. matemabi

    ChatGPT sasa kuchukua nafasi za consultants/ Therapist

    Kulikuwa hakuna haja ya kusema neno bangi... ila umeongea kiustadi sana. Kila mtu ana hitaji lake kwa kipimo chake, mimi naona inafaa, kama kwako haifai basi sawa mkuu! Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  2. matemabi

    ChatGPT sasa kuchukua nafasi za consultants/ Therapist

    Leo nimeamka katika pita pita zangu za kusoma na kupata vitu vipya katika maswala ya akili mmnemba nikagundua kwamba kupitia ChatGPT sasa unaweza kuongea nayo na ikakujibu kila aina ya swala utakalo uliza na kwa sasa ni bure kabisaaa... ambayo zamani ulitakiwa kulipia ambapo baadhi yetu ilikuwa...
  3. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Hii topic ilikuja kuwa twisted kwamba ni uongo ama propaganda... baada ya picha kuja hapa naona pamekuwa kimya. Tungejadili na kupata suruhisho mfano ni kweli hayo maplastic hayana madhara kwa afya ya binaadam!?? Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  4. matemabi

    Kwanini ni Simba VS Yanga na sio Yanga VS Simba

    Nimechunguza na kutambua kuwa watu wengi linapokuja swala la mechi ya watani wa jadi basi wengi wataanza kuitaja simba kisha Yanga. Yani leo ni mechi ya Simba na Yanga. Yani lazima Simba aanze kisha Yanga atafuata. Hili lipoje huko kwenu na ni nini sababu ya hili kutokea. Sent from my...
  5. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Takata hii hapa mzee. Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  6. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Propaganda kivipi!? Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  7. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Picha hiyo mzee Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  8. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Afadhali we umeona... kuna wengine ni mangisi maji wanajua kubisha tuu Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  9. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Plastic yenu hii hapa... acha ubishi. Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  10. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    . Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  11. matemabi

    Dodoma ni kutamu jamani

    Nina kiwanja Dodoma kina hati natafuta mtu mwenye kiwanja Dar anaetaka tubadilishane. Kiwanja kipo Nzuguni karibu na stand ya nane nane kina hati. Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  12. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Kama upo Tanzania na sio ulaya basi nawe pia upo katika ujinga huo. Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
  13. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Sawa wewe kiazi kabla sijasahau[emoji1787] Anyway umetoa mwongozo mzuri ila tatizo hapa sio kwa mnunuaji mana maziringira ya ukataji nyama ya namna hii yakiwa yamekuzunguka unajikuta hauna budi. Kumbuka, unapo ongelea Dar sio pote watakuwa wana uwezo au uelewa uliotoa hapa. Pia kama mwongozo...
  14. matemabi

    Hii ni hatari hakuna magogo ya mti tena buchani sasa ni gogo la plastic

    Naomba niwaelekeze mkapige nyie picha kwenye ofisi za watu kama mtaona ni vyema. 1. Dodoma, meliwa ukiwa unaingia kutoka main road bucha za upande wa kushoto. 2. Dodoma, stand ya Sabasaba ingilia mlango wa kutokea magari mabucha yapo upande wa kulia. Haya kazi kwenu wapiga picha Sent from my...
  15. matemabi

Back
Top Bottom