Recent content by Matema Beach

  1. M

    Operation Delete CCM: Lema, Lissu, Sugu, Machali watafanya mkutano Arusha leo

    Mkuu Mungi nawaomba makamanda wasikusahau huku kwetu Nyasa Matema Beach kunamagamba mengi so juhudi za makusudi zitumike kuya delete.
  2. M

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    maccm yatasumbuliwa sana na huyu kamanda Tundu Lisu kwani kwa mtazamo wangu Lisu ni sawa na wabunge 250 wa maccm.
  3. M

    CHADEMA wanaua vipaji vya siasa kwa Vijana, Yu-wapi James Ole Milya na Bananga

    Wewe dada ni kweli unakiri au kidogo unamapungufu? hivi leo hii hujui kuwa Bananga ni diwani? au ndio unaandika ilimladi uonekane upo? cccm wamekupoteza wewe kisiasa na ndugu yako mwampamba yote hayo inahitaji kusomea ili kujua ccm ndio inapoteza vijana kisiasa? jiangalie vizuri ndugu yangu...
  4. M

    Kinana: Mnaojipitisha urais kabla ya wakati tusilaumiane

    nakuunga mkonokwa 100% mkuu kwani inasemekana mpaka sasa jamaa bado hajaukana urai wake wa kisimayu
  5. M

    Must read: Ufisadi na Uchafu wa kapt. John Komba kwa wapiga kura wake

    kiongozi unapotosha kuwa komba amechaguliwa kila mala kwani ndio kwanza hiki ndicho kipindi chake cha kwanza katika ubunge wake. Mtetee kivingine na kama hayo yaliyo andikwa mwakani akae kando,
  6. M

    Hali ya madarasa/elimu jimboni kwa Waziri Mwakyembe - Kyela

    Kiongozi tunashukuru kwa taarifa mimi nipo huku Matema beach leo hii nimepita shule ya msingi Kisyosyo hali ya madarasa inatia simanzi yani huwezi kuamini kuwa jimbo la Kyela linaongozwa na mbunge anaye julikana kama shujaaa wa nchi. Siku nyingine nitapiga picha ili niwatumie wanakyela wote...
  7. M

    CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    mkuu huyoni miongoi mwa miskule ya lumumba haijitambie daima
  8. M

    CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    Hasante mkuu kwa kuongezea neno WALAFI nakubaliana na wewe 100%
  9. M

    CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    Kitendo cha kutaka kuchakachua maoini ya katiba mpya kutoka kwa wananchi ni ishara tosha kuwa wanang'ang'ania madraka. Lakini naomba unipe jibu ni kwanini maccm wengi mnasema wapinzani ni waroho wa madaraka ili hali mnajua kuwa wapinzani wanahaki kishria kwaongoza watanzania?
  10. M

    CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    Nadhani muelewa nipe majibu sasa
  11. M

    CCM na Wapinzani nani mroho wa madaraka?

    Salaam ndugu Nape, Kusema kweli mimi nimekuwa nikitatizwa sana na kauli/lugha ambayo wewe ndugu Nape umekuwa ukitumia dhidi ya wapinzani hasa CHADEMA. Kila unapo hutubia wananchi umekuwa ukiwaambia wanachi wasiwasikilize wapinzani kwakuwa wapinzani ni waroho wa madaraka. Kumbukumbu yangu...
  12. M

    Masikini UKAWA

    Nape wewe nimoja wa vijana niliokuwa nawategemea katika nchi hii na niseme kweli ni mmoja wa watu walio nishawishi kufuatilia siasa lakini kwa sasa napatwa na mashaka na uwezo wako wakufikilia siamini kama inatokana na matokeo yako ya fm4 kwani kufeli na kufaulu elimu ya sekondari hakumuondolei...
  13. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr, Slaa ndio Raisi wangu lowasa kachoka mpaka mikono yake inatetemeka kama kuku wa kideli
  14. M

    Hamis Mgeja kuongea na Vyombo vya Habari pale Habari Maelezo - Feb 01, 2014

    Huyo bila shaka anamshabikia fisadi wa kimataifa E.Lowasa
  15. M

    Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

    watamuunga mkono maccm wote sasa kama wewe ni jicccm pasi na wewe utakuwa pungwani ila mimi EL akiwa rais nitaenda kuishi Siria.
Back
Top Bottom