Recent content by Matata Kipepeo Jungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    Wakuu notarudi kumalizia simulizi hii very soon. Nilikuwa na majukumu mengine kwa miaka miwili hii sikuwa na hata muda wa kukaa kukumbuka yaliyotokea miaka hiyo. Inabidi nimalizie tu maana inaweza kuwa msaada pia kwa wale ambao hawajawahi kusoma waione na kupata muendelezo kamili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    Nipo mkuu. I'll be back soon
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Wakuu nimetanikiwa, Kumbe unatumia INDEX MATCH
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii picha nilivyoiona nimecheka sana. The tripple integral 😆

    Ninyi ni wanafiki sana.Wakati wa Magufuli si mlikuwa nao hao?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Sawa,naiomba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Nakutumia namba DM tuwasiliane
  7. M

    JamiiForums Tanzania TEMPLATE ya matokeo ya shule ya msingi(simu au vishkwambi) tsh 10,000.

    TEMPLATE YA MATOKEO KWA SHULE ZA MSINGI! Kwa walimu wa shule za MSINGI wanaohitaji kiolezo(template) ya kuchakata matokeo ya wanafunzi baada ya mitihani au majaribio,au wanaohitaji kiolezo (template) ya kujaza milimbuko ya alama(continuous assessments) kwa kutumia simu au vishkwambi.Basi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Mkuu ni wapi nimeandika sheet A?? Nimekwambia NAJUA. Sheet ni kama ukurasa kwenye workbook. Nimeandika kuwa sheet 1....sheet 2...na kuendelea..... Sasa hapo kipi sikijui??
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Ndiyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Sijakuelewa mkuu....hivyo najua vyote.... shida yangu ni hiyo niliyoeleza hapo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Excell

    Wakuu kwema? Naomba msaada wa excell. Naandaa template ya matokeo kwa shule za MSINGI. Sheet 1 nimeweka kwaajili ya kujaza alama. Sheet 2 nimeweka sehemu ya matokeo,yaan madaraja ya kila somo,jumla na kadhalika. Sheet 3 Nimeweka kwaajili ya rank,yaan aanze mwenye alama kubwa kwenda ndogo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    KANYAGA TWENDE 03 Ndugu Goroko alianza kusimulia mambo mengi aliyoyajua kuhusu kundi la kanyaga twende,ambapo sasa ili kupunguza wingi wa maneno naomba sasa kanyaga twende niite kwa kifupi KT,kwahiyo Goroko anaeleza kuwa KT ni wahalifu ambao chanzo chao hasa hakijui ila anachojua kuwa jina lao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    Sehemu ya 03 hivi karibuni.......
Back
Top Bottom