Recent content by matarawe

  1. matarawe

    Vifaa vya studio hasa upande wa sauti

    Ngoja tusubiri
  2. matarawe

    Vifaa vya studio hasa upande wa sauti

    Wee chenga kweli
  3. matarawe

    Vifaa vya studio hasa upande wa sauti

    Natafuta hizi acoustic foams panels zinatumika kukata mwangwi wa sauti studio hivi hapa TZ zinapatikana kweli?
  4. matarawe

    Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Mchukue tu mbona wapo wenye watoto wameolewa na wametulia
  5. matarawe

    Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

    Kapige kitabu weee hayo hata sisi yslitukuta yakatuumiza lakini tukawa psychological stable. Jishughulishe zaid na kujenga future ya maisha ambayo ni elimu hayo mengine yatajiseti. Fanya kama umesahau vile dogo.
  6. matarawe

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Tatizo mnataka kuforce mtende kuota na kukua ndani ya siku moja
  7. matarawe

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Hivi hizo pesa za wanachuo zipo kwenye bajeti yavserikali ya awamu ipi? ya Magufuli au Jakaya? Mnapolaumu pimeni kwanza vitu kwa makini kabla ya kuropoka
  8. matarawe

    Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Hebu leta hiyo picha ambayo alikuwa peku
  9. matarawe

    Jaman ivi nitafanyaje ili niache kupiga master ushauri plz

    Hamjamuelewa mantiki yake sio masters ya darasani anamaanisha masturbation
  10. matarawe

    HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    Watu wazushi sana sijui lengo lao ni lipi!
  11. matarawe

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    1.Kifurushi cha internet Mb 200 cha tsh 500 sasa ni Mb 180 je mabadiliko haya yana gusa kifurushi cha bila kikomo siku cha 1000? 2. Kiuhalisia kuna kiwango cha mbs katika bila kikomo ya siku ya 1000 ila hamsemi. Je ni mb ngapi zimo humo kama ilikuwa ni gb1 kwa mabadiliko ya kifurushi cha...
Back
Top Bottom