Recent content by Matangwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nililishwa Sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka 2024

    Nyie wanamtandao watu wa ajabu sana mlipa Sumu Makonda, Kijaz, Mangula, Magufuli, Mwakyembe, Tindikali Kubenea, Sumu Mkapa mlolongo ni mrefu. Hongereni!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli tambua shangwe na kushangiliwa sana unakopata kila usimamapo, sio kwamba ni wewe, bali ni sababu ya Legacy kubwa aliyoacha baba yako

    Na @akiana-Bush Jr, Ghandi Jr, RizOne, Makamba Jr, Bhuto Jr, Clinton family, Abdul na huko nako ni ka-ujinga au?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Trump anaidhalilisha Marekani

    advocating violences kwa mkutadha upi? Mbona Marekani siku zote advocating violences kuanzia Vitinamu, Korea, panama, Iraq, cuba, Kosovo, Pakistani, Iran, Bolivia n.k Tangu miaka ya 1950s mpaka leo Marekani ime-advocates Makumi ya vita kila pembe ya Dunia! TAFAKARI!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Kwa nini asishinde wakati anashindana na Yeye Mwenyewe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Kwa sasa unaiona CCM madhubuti aliyokuwa anaisema Nyerere?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Hawa watu uliowataja watoe maelezo gani wakati kila mtu anajua wanahusika na tukio hilo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Zungumzia hata kwa uchache Maburungutu ya pesa aliyoendanayo ABDUL nyumbani kwa Lisu akiwa na Wenje.
  8. M

    JamiiForums Tanzania BAWACHA yamtaka Polepole amtaje aliyempiga Lissu risasi

    Mwambieni naye Sa100 awataje si alikuwa makamu wa raisi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Nyerere alikuwa hafanyi Biashara na warioba analipa kodi. Wakwenu Je?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Pole Pole kutubu (alivyoratibu CCM kuiba kura kimfumo), ipo siku January Makamba, Nape au Kinana nao watakuja kutubu

    Usimlinganishe Polepole na Hao wana Mtandao! Hao ni wahalifu wa kudumu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Ukirejea press ya Polepole leo 8/82025. Wahuni walimzidi kete!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

    Unakumbuka ULIMBOKA 2012 NA MWANGOSI 2013? Mauaji ya Arusha 2010
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Kwa hiyo Rostam ana Historia Ndani ya CCM kuliko Warioba au Kuliko Makongoro Nyerere?
Back
Top Bottom