Recent content by matamvua

  1. M

    JamiiForums Tanzania Habari na Picha: Kinana alipokutana uso kwa uso na Mh. Shibuda jukwaani Meatu

    Du kinana yupo meatu? Nawahurumia tembo wa makao na maswa game reserve
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushane viwanja vilivyovuma ila leo imebaki stori

    Ndege beach
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushane viwanja vilivyovuma ila leo imebaki stori

    Ndege beach
  4. M

    JamiiForums Tanzania live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    sijawahi kuhudhuria mkutano wowote wa kisiasa leo nimeshawishiwa na rafiki yangu hapa shy. Mbowe kaomba ridhaa kwa wananchi red brigade wafundishwe ukakamavu au la. Wote walioudhuria wamenyoosha mikono juu wakimaanisha wafundishwe. pia amelaumu vyombo vya dola kutenda unyama dhidi ya wananchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano (DEMOSTRATION)

    Maandamano mazuri ni ya usiku. mchana fanyeni kazi usiku mnalikita. ushauri tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    Mganga hajigangi RIP Dr
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Chadema kwenye matokeo ya udiwani ...

    Vipi mawaza shy?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

    Umekosea sana ninavyo ijua mimi TRA kitilya Huwa haingilii kabisa mchakato wa kuajiri. wala hua hajuii ni akinanani wameajiriwa. Kuna rafiki yangu ameajiriwa bila mizengwe yeyote. TRA wako fair sana kwenye mchakato waoo wa ajira pia maswala yote hadi interviews huwa wana outsource wenyewe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Aibu haishi mpaka ujisafishe kwa mema
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Hakuna kitu kama hicho kwa maoni yangu siamini kwa sababu zifuatazo 1. Mkenya afike nchini na kujua msitu wa pande kuwa kunafaa kutupa mtuyaani maficho ya mauaji. 2. Afike tu na kujua kanisa la kawe? kwa nini ameacha mengine mengi ya kilokole hapo kati kwa nini kwa huyo mchungaji? naye huyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania If you have done your very best and you have failed, why don't you resign?

    leo bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo, mh tundu lisu alimuuliza waziri mkuu kuwa aliahidi kuwa watashughilikia matatizo la madaktari na mgomo hautotokea tena. Sasa kwa nini umetokea ameshindwa kazi kwanini ajiuzulu?. Waziri mkuu akasema amejitahidi sana kwa uwezo wake wote lakini bado...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

    Fuvu - huyu alikuwa mwembamba alafu bonge la kichwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania UHURU: CHADEMA yapasuka

    Hili gazeti nadhani zaidi ya kuwa la ccm pia mhariri ni nape akisaidiana na gamba mwenzie mkama. So watanzania maposoma akili kichwani mwenu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

    Hapa sio jangani mbona magorofa hayaonekani hii ni picha ya muda mrefu sana kabla ya vuguvugu la ukombozi kushika kasi labda ni kabla hata ya 2005.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

    Cdm wanatisha magamba hawataki tu kukubali kwa kinywa ila moyoni washaona hali yao kiutawala ifikapo 2015 kuwa mashakani. Keep up cdm. Tupo pamoja daima. Pia pole kwa wana cdm wote kwa kuondokewa na mwenyekiti mstaafu. Mungu amlaze mahala pema peponi amina
Back
Top Bottom