Recent content by matamba.com

  1. matamba.com

    Rafiki yangu amehamia CCM, naomba ushauri!

    Mwambie tu...kaona fursa
  2. matamba.com

    Uchunguzi kuhusu wadada wenye mvuto wa nje

    Kuna kitu nimegundua uko vizuri sana kwenye ushawishi,Unatuaminisha vitu ambavyo ni hisia zako kwa tabia ya mtu. Kwangu mimi salaamu sio lazima lakini ni muhimu kusalimia ukinisalimia nitakuona una tabia nzuri usiposalimia tabia yako mbaya.
  3. matamba.com

    Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    GENTAMYCINE kama kweli unampenda utamwambia lakini sio kwa kulaumu ila kwa kutoa suluu mfano kwenda kuwaona wataalamu wa afya. Na unavyozidi kuchelewa hata yeye atakuona una tatizo why huoni harufu ya papuch yake?
  4. matamba.com

    Itawezekana mimi na yeye kuoana kweli?

    Mbona hapo hakuna tatizo kaana nao tu na ikibidi wawepo na watu wengine wa heshima kwenye jamii yenu posa itakubaliwa tu..
  5. matamba.com

    Kupitia uzi huu 'Wengi hula nyama za watu mabuchani', JF imebadilisha maisha yangu

    Hahahaaaa nadhani hata wale masai wa pale Doma moro lazima wameiga toka huko Longido
  6. matamba.com

    Kupitia uzi huu 'Wengi hula nyama za watu mabuchani', JF imebadilisha maisha yangu

    Pole,inatokea lakini jaribu kila unapotaka kula jisemehe "ile ni ndoto tu" baada ya muda mfupi mambo yatakuwa kama Longido
  7. matamba.com

    Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Ukifikia umri wa wa kibaba baba kama mimi wanawake wote watakuwa wamemkimbia huyu, Madame....hana haja ya kusubiri huyu
  8. matamba.com

    Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Hahahaaaa mkuu unataka utoe msaada wa kufukuzia? tabu yote ya nini hiyo mwambie akiona anamkimbia apige kelele za mwizi tu wa Tz tuko na ushirikiano mno
  9. matamba.com

    Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Na usikute kabinti kako chini ya miaka 14 maana hawa waDigital 15year ameshamaliza kila kitu badala ya kukimbiwa utakimbia.
  10. matamba.com

    Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Kwangu nionavyo bora mtoto wa kike aongee kwa vitendo zaidi kama anazimika na mimi,kuliko kunilopokea wazi wazi aiseee mamaangu nitakuwa na maswali mengi siku ukiniudhi afu majibu empty
  11. matamba.com

    Akiniona anajificha, atakuwa ananipenda au hisia zangu tu?

    Anakuogopa bila sababu? au ulikakonyeza hahahahaaaaa mtegee mpaka ukutane nae uso kwa uso
  12. matamba.com

    Professor Assad ni tunu ya Taifa

    Hii ni mapema sana kujua lakini nasikia jamaa yuko vizuri sana...
  13. matamba.com

    Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    75%Ndio walichofuata,wasi wasi wangu ni kama wao wamekuwa majasiri wa kuwasemea wanawake wenzao nchini,ndio maana hawakutaka kabsaa mwanaume kutoka Tz Mpaka kenya? Au kwa vile kule wanaume wengi wanapigwa na wake zao!? nawaza tu
  14. matamba.com

    Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

    Hahahaaa nadhani wanajua jamii yote tuko hivyo labda wavuke mipaka. Hapa kwa mtizamo wangu waliozalilika zaidi ni kina Mama wa Tz tena walio kwenye ndoa.
  15. matamba.com

    Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Pole.. kwani unadhani yeye msafi? Labda kwa sasa lakini hapo mwanzo? Acha maisha yaende Unafiki ni sehemu yake,wala usijaribu sisi wanaume huwa hatuoi changudoa hata kwa kusikia tu
Back
Top Bottom