Tatizo la Tanzania tumekalia kuwaza idadi ya kura kulika kufikiri namna ya kutunga sera bora za ukuaji uchumi na teknolojia ya viwanda pia tuache umimi ktk masuala ya kitaifa.
Taifa linao wajibu wa kuwaandaa walimu maadili ya kiualimu na sio kitaaluma tu,pia walimu wanapokua ktk mafunzo kwa vitendo wakuu wa shule wanaowajibu wa kuwalea na kuwafundisha kazi na maadili ya kazi sio kuwaacha wafanye wanachojua tu,nini maana ya kwenda kujifunza,tatizo wengine wanafikiri...
SASA KAMA UNAFAHAMU LOWASA ANAKOSA MPELEKE MAHAKAMAN, wtz bwana tumekalia kuimba ufisadi ufisadi,
tuwajibike,tatizo sisi tulio kwenye sehemu za utoaji huduma ndio vikaragosi tunawasumbua wtz kila kukicha kwa rushwa za 500/.turuhus u akili zifanye kaz kulko wingi wa laana na lawama. Hakuna...
Tusifikiri kwa mioyo yetu ila kwa akili zetu,kipimo cha wagobea urais Tz 2015 ni uwezo wa kusema na kutenda yale unayosema kwa maslahi ya Taifa bila kujali maslahi ya kundi dogo lililokupigia debe,pili tatizo letu wtz tukipiga propaganda kumpamba mtu ili akipata atukumbuke ndio dili tutaliua...
Pinda mwadilifu lakni ccm ya jk haiwez kwa sasa,atakuwa analia kila siku.jk angekuwa dikteta wengi tungekuwa tumewazika,tunambeza lkn kwa sasa nchi ni ngumu inahitaji busara zaid, hata ccm ya sasa ni ngumu maana limekuwa taasisi kubwa.
Lowassa ni mwiba kwa viongoz wazembe,bomu la rich mond liliandaliwa kumuua kisiasa lakin masai jasiri na makni anafanya siasa zilizoenda shule siyo kupayuka ili watu wakusikie bila hata hoja.muulize nape na siasa za magamba ziliishia wapi?.
Ccm siyo mbaya kwangu mimi kama ninavyofikiri ila watekezaji wa ilan na sera ya chama hiki,lakin chama hiki kikiwa na watu aina ya mwigulu wanaosema bila kumungunya maneno hasa ukweli kwenye takwimu za madeni na mishahara hewa vinavyotishia haki na maslahi ya watumishi,na hii imekuwa dili kwa...
Kwa mwenye busara akiona wapumbavu wanashupaa hukaa kimya ajifunze zaidi.pia Nyerere alikuwa sahih nyakati hizo lakin kwa sasa baadhi maoni Nyerere yaweza kuwa si sahihi.NAKUMBUKA MANENO YA LOWASA"TATIZO NI UWAZIRI MKUU.WANAONIHUKUNA NAWAACHIA HISTORIA HISTORIA ITAWAHUKUMU" LOWASA KAMA ZUMA 2O15!!.
Uhai au kifo cha ccm anao lowasa maana alishirik kujenga Tanu -ccm, Acha hawa vijana wanaoona siasa kama ajira pia kwa uwezo na busara yake alisha waachia wtz mmjadil kisha mtoe jibu wenyewe kulko kujitetea majukwaani na kupayukapayuka maneno.
Siasa za akina shibuda ni siasa ni siasa maslah ambazo huangalia tonge liko wapi,wanamaswa mkihangaika nazo mtabakiwa gizani.kumbuken siasa za mwandu za akili sio hizi za maji taka za akina shibuda.pia kumbukeni shibuda ni ccm ila siasa zake ccm walimtosa cdm wakamwokoa lakn bado anateswa na...
Badala ccm watekeleze sera na ilan ya chama wanakubar kugeuzwageuzwa kila uchao,yaan ccm chama chenye wasom chungu mbovu mnashindwa kuelewa janja ya ukawa,mkiguswa kidogo tu mnaacha njia.chama bora cha siasa husimamia kwenye sera na ilani ya chama sio maneno ya mtaani.
Utambeza lowassa kama unaambiwa na kusikia tu lakin tulioshuhudia maamuz yake kiutendaji,tunaacha watu wapige propaganda lakin historia yenyewe itawahukumu.
Sita hata kama agefanya vizuri nafasi yake ktk urais tz ni ndogo sana labda awe mpiga debe wa rais ajaye kwa sababu ni msomi lkn anasiasa za majungu na kinyonga mno na nchi hii tumeona siasa za makundi zinavyomtesa jk.
Ukawa kwa hawa mpigie mstari,wengine tulikuwa tunasubiri kupigia mstari,maana hata shibuda yuko cdm kwa sababu tu..,.lakin ufunua akili yake ni ccm-99.9%.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.