Wenye akili nusu tu ndio watawaza kama wewe. My friendi jua tu sio kila aliefanikiwa kapambana. Abdul amepambana wapi?.
Sio kila masikini ni mbovu. Wapo watu wanapiga kazi kuanzia asubuhi mpaka jioni lakini bado mazingira yanamuacha bado akiendelea kupambana na kuwa masikini. Kupambana kwenye...
Utapasuka bure mama. Mbona Iryn na mama J hawana utofauti...! Yoyote kati yao mbona fresh tu. Usione mama J katangulia ndio ukaona ni mkamilifu kuliko Iryn. Wanawake wa siku hizi wote ni mle mle tu
Ni wengi wanapitia hiyo hali. Lakini wanaofaidi ndoa ni wale never mind kwenye ndoa yaani ameyaweka maisha ya ndoa kama hana cha kupoteza. Huyu anaweza kuacha mke muda wowote.
Cha muhimu kujua kwenye ndoa za siku hizi ni kujijali kwanza wewe. Usione shida kuachana nae hata ikibidi kumuachia...
Umeanzisha Uzi wa vijana,usijaribu kumtaja February hamna kiongozi pale. Pale kuna tamaa.
Pia Usijaribu kumtaja ridhi1 hatuko kifalme. Japo ukiongea nae nje ya siasa ni mtu sana. Lakini kuwa kiongozi bora ilitakiwa aanze kujitengeneza sasa huko kwenye jimbo kuwa muungwana kwa kuruhusu democracy...
Mtu yoyote anaeoongea vitu vya ukweli ambavyo CHADEMA na jamii inavipigania lazima aungwe mkono na CHADEMA. Haijalishi huyo mtu katokea pande gani?. Hivi kuna mtu mwenye akili timamu asieona utekaji ulivyoshamiri Tz?. Ni wewe tu na wenzio ndio hamulioni hilo swala. Hilo swala la utekaji lisikie...
Msitudanganye tu kwamba nyie mnaomsema Mary kwamba ndio mko smart kiasi kwamba utachomoa kunasa kwenye ndaono kama hiyo...! Humu humu tu wengi tayari mmeingia kibra kwa inside. Ni vile tu ngumu kumtokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.